nape na mwigilu hawawezi kukamatwa na police sababu wao ndiyo serikali kama ulikuwa hujui - cha msingi CDM ni kumtegemea mungu tu kwani ndiye hakimu wa haki.​Nadhani kauli ya Nape polisi wanawez kuanzia kwake maana inaonekana anajua kilichojiri. Amwage ushahidi tu sisi tutaiamini CCM kama enzi za Nyerere
​Nadhani kauli ya Nape polisi wanawez kuanzia kwake maana inaonekana anajua kilichojiri. Amwage ushahidi tu sisi tutaiamini CCM kama enzi za Nyerere