yes we need to speak out about something. whit out uwoga. uwoga ni ujinga.my self am a man from kinshasa.kusema kweli hali sio nzuri nchini tanzania. TANZANIA ni inchi peke katika inchi zetu...
Wadau wasalaam?
Kumewakuwa na kauli tata za viongozi wa vyama vya siasa hapa nchi hasa yanapotokea majanga makubwa yanayotikisa Nchi yetu na kauli hizo hutolewa na viongozi waliopewa dhama ya...
Kwenye msimamo wa moyoni,bomu au kutekwa au kuswekwa rumande au kuteswa au kushambuliwa kwa silaha nyinginezo, si lolote. Watu watafanyiwa madhila ya kila aina lakini watabaki na misimamo yao...
Kila kona sasa hivi hapa Dar es Salaam ukikutana na mtu ukagusia milipuko ya bomu Arusha hakika wengi wanailaani CCM na UCHAFU WAKE wa tangu enzi na enzi!! Kitu cha kujiuliza ni kwamba bado CCM...
Ndugu zangu wana JF!
Ni rahisi sana linapotokea tukio la kuuliwa kwa raia au raia kuandamana kulihusisha na kauli ya DR. SLAA aliposema nchi HAITATAWALIKA....!
(Japo wanaosema hivyo wote...
Nilibahatika kushiriki chaguzi zote za uraisi wa Dr Jakaya Kikwte, si muda wake kusema nilimpa kura au la huu ni wakati wa kuelezea ninavyomuona mimi raisi wetu huyu. Tukiachana na ushabiki wa...
Katika gazeti la leo la mwananchi Lipumba anasema eti shambulio la Arusha waliolengwa ni CUF eti ili kuwanyima ushindi wa kishindo. Nadhani Lipumba angestaafu tu maana pumba zake zimezidi sana.Kwa...
Ndege aina ya bundi na wanyama kama nyoka na nyani ni miongoni mwa bidhaa ambazo zimekuwa zikiingizwa nchini na kusamehewa kiasi kikubwa cha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), karibu kila mwaka...
akichangia bajeti mbunge machali alikatisha hotuba yake na kumtaka wazir awe na nidhamu baada ya wazir wa fedha kuonesha ishara fulan.akiwa ktk kulielezea hilo mwenyekit jennipher Mhagama...
Wakuu.
Matokeo ya udiwani kwenye kata zilizofanya uchaguzi yanapatikana hapa (kwenye thread hii), muda wa kupiga kura ndio umeisha punde na sasa ni kazi ya kuhesabu kura.
Fuatilia uzi huu kwa...
Wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Mwigulu,
Wakati mbunge wa Singida magharibi Mhe. Mwigulu Mnchemba anapasua masafa ya nchi wapiga kura wake wanamlilia kweli aende akawasikilize matatizo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatoa taarifa za Hujuma zinazoendelea katika chaguzi za marudio kwa kata mbalimbali hapa nchini.
Kwa masikitiko makubwa CHADEMA kinatoa taarifa ya...
Wana JF napenda kujenga hoja hapa ya yaliyojili arusha, Kwa kuanza hebu tujikumbushe tamko la CDM mara baada ya Lwakatate kukamaywa ilikuwa hivi:
................. Aidha, Nchemba amedai...
MWENYEKITI wa CHADEMA Freeman Mbowe, amevituhumu vyombo vya dola kuwa vinawafahamu watu walioshiriki kwenye mlipuko
wa bomu uliotokea juzi katika viwanja vya Soweto kwenye mkutano wa chama hicho...
IGP Said Mwema amewaomba wananchi wenye taarifa za kuweza kumtambua aliyerusha bomu pamoja na watu walionyuma yake wajitokeze au wamtumie message kupitia simu yake ya mkononi namba 0754 78 55 57...
Katika hali ya kusikitisha kabisa tunaona jinsi SERIKALI YA CCM ilivyopotea katika kukabiliana na mitego yao wenyewe
kauli ya serkali iliyosomwa bungeni jana kuhusu mlipuko Arusha imejenga...
RASIMU YA KATIBA MPYAMAONI NA MSIMAMO BINAFSI WA AWALI KUHUSU RASIMU SEHEMU YA KWANZA: MAONI YA JUMLARasimuhii ukiangalia juu juu tu na kwa kupitia propaganda ya vyombo vya habari...
Poor minister Lukuvi, anatoa taarifa bungeni juu ya kilichojili huko soweto Arusha wakati wa kuhitimisha kampeni za udiwani kwa chama cha demokrasia na maendeleo!
Bila shaka Lukuvi imeonyesha...
Nawapa pole wananchi, wakazi wa Arusha, wanachama na mashabiki wote wa Chadema, Viongozi wote wa Chadema na wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Natoa pole za dhati kwa wafiwa wa mlipuko huu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.