Picha;haya ndiyo matukio mbalimbali yaliyotokea wakati wa uchaguzi wa udiwani wilayani kilolo

Rose Mayemba

JF-Expert Member
May 7, 2012
721
1,017
Mbali na mambo mengi kutokea katika uchaguzi uliofanyika kata ya Nga'nga'nge wilayani kilolo yakiwemo ya kujeruhiwa kwa kiongozi wa baraza la wazee la wilaya mzee NyaulingoLunyiliko na viongozi wa CCM,wananchi kutishiwa kushiriki mikutano ya CHADEMA,haya ni baadhi ya yaliyokuwa yakijili wakati wa mckakato huo wa kumpata diwani katika kata hiyo
Mh Chiku Abwao(viti maalumu mkoa Iringa) akimnadi mgombea wa CHADEMA bwana Nafred Chahe.
Mwenyekiti wa Chadema chuo kikuu cha Ruco aliyestaafu(Rose Mayemba) akimuombea kura mgombea kwa wananchi
Shamra shamra wakati wa kufunga kampeni
Mhe Chiku Abwao akishambulia ugali na mboga za majani baada ya kampeni
Rais wa chuo kikuu cha RUCO akiwa katika pozi na taifa la kesho kijijini hapo

Wanafunzi chuo kikuu(RUCO) wakiota moto baada ya kutoka kwenye kampeni
Huyu ni mzee wa chadema aliyepigwa na viongozi wa CCM akitokea kwenye kibanda cha maziwa
katika uchaguzi huu CCM walishinda kiti cha udiwani dhidi ya mpinzani wake mkali CHADEMA
 
Sijui itakuwaje 2015 masikini, watu tutachinjwa kama kuku. Mungu tuonee huruma.
 
Kkwa hiyo ujumbe hapo ni nini?

lukosi hivi ukiwa ccm lazima uwe tahira? hivi anaevuja damu angekuwa mama yako ama baba yako ungeuliza swali la kipuuzi hivyo? utu wako ni bora sana kuliko tenda ulizo ahidiwa na ccm...
 
tuache ushabiki, huu ugomvi wa kupigana unatoka wapi?? and kwanini iwe ni kwa cdm na ccm tu??
hivi mnataka kutuaminisha kwamba TZ YOTE VYAMA VYA SIASA NI HIVI TU??

sasa naona jinsi ambavyo siasa inatafsiri mbaya maskion mwa wengine.
 
Back
Top Bottom