Bila Wapinzani Bunge Litapwaya..Kama Jana!!! Ni Wabunge Wa Taifa!


P

Phillemon Mikael

JF Gold Member
Joined
Nov 5, 2006
Messages
9,290
Likes
3,067
Points
280
P

Phillemon Mikael

JF Gold Member
Joined Nov 5, 2006
9,290 3,067 280
Thread hii kwa nini imeondolewa????..

Ndugu Watanzania ..kwa mlioangalia Bunge Leo mmejionea namna lilivyopwaya...

Wengi wa Wabunge wa CCM sio wachangiaji ...ukizingatia wingi wao
Wengi wao sio wahudhuriaji...
wengi wao wanasubiri Kusema ndio tu
wengi wao wana kashfa Kama Aishi na Mtutura....na wanapewa Muda kuongelea bajeti wanautumia kujisafisha na kashfa za tembo au za Kulawiti.....na kumsema Mzindakaya...
wale wabunge waaliberali Leo waliona muhimu ni Kuomba Rais anapoamua kukutana na wabunge wa Chama Chake Dodoma nao waalikwe.."tunajiona wapweke Muheshimiwa spika" alisema ....

Ukiacha wabunge wa NCcR ndio wamejitahidi Leo kuongelea hoja .....Si haba ...

Watanzania tuwashukuru Sana wananchi waliochagua wapinzani kwenye majimbo Yao ....wameacha ubinafsi na wakaamua kulipa Taifa watetezi.....hata Kama wanaambiwa Rais na serikali na CCM watanyimwaa maendeleo ....Wanesema Taifa likipona ...maendeleo watayapata tu....

Sasa Leo tumeona tukidanya kosa la kuwacha kuchaguaa wapinzani Bunge litakuwa Je?
Watanznia mliochagua wabunge wapinzani tembeeni Kifua mbele........wapinzani pamoja na wabunge wachache wa CCM Kama esta bulaya,Ligola ,Fulikunjombe etc ...tusiwaite kuwa ni wabunge wa majimbo...Hawa tuwaite WABUNGE WA TAIFA ....TUENDELEE KUWAONGEZA WAWE WENGI ..!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,275,062
Members 490,894
Posts 30,531,839