Kinana warns media over breach of peace


R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
6,294
Likes
1,262
Points
280
R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
6,294 1,262 280
The Media in Tanzania and all its practitioners will not escape the arm of the international legal institutions if they continue to propagate issues that contribute to breach of peace and conflicts in the country.

Mr Abdulrahman Kinana


Mr Abdulrahman Kinana, who headed the East African Observer Mission during the last March Kenyan elections, stated here that of late, Tanzanian media outlets and journalists have been so irresponsible in their reporting such that the country has been plunged into series of social, religious and political conflicts, some of which have already claimed lives. “Journalists here believe that when it comes to facing charges in international courts such as the ICC in The Hague, it is only the politicians and government leaders who become accused,” warned Mr Kinana, reminding that even reporters get charged. He cited the case of Kenya’s Radio journalist, Mr Joshua Arap-Sang, who was summoned before the International Criminal Court (ICC) for his alleged role in the country’s 2007 post-election chaos that claimed over 1 000 lives.
 
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
9,701
Likes
1,217
Points
280
Age
28
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
9,701 1,217 280
Anachofanya Kinana ni kutaka kutisha media zisiripoti matukio yanayotokea sehemu mbalimbali hapa nchini ambayo chanzo chake ni CCM na kinachomtisha sana ni pale Watanzania watakaposema sasa basi, kwani tumeshuhudia matukio mengi yametokea lakini vyombo vya habari havijatoa kipaumbele hususani katika unyanyasaji wa vyama vya upinzani katika chaguzi ndogo zilizofanyika hivi karibuni watu wamepigwa shoka, wamechomwa visu wengine wametekwa na kufichwa kusikojulikana lengo likiwa ni kuhujumu matokeo. ANACHOKIFANYA KINANA KWA SASA NI KUTAKA KUKIKIMBIA KIVULI CHAKE kitu ambacho hakiwezekani.
 
R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
6,294
Likes
1,262
Points
280
R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
6,294 1,262 280
KINANA anaongea kutokana na weredi wa waandishi wa habari wanaoandika udaku badala ya habari au wakitumia source za viongozi wa siasa; Kama wangekuwa wanareport researched report sijui kama kuna tatizo;
 
Jalood

Jalood

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Messages
750
Likes
2
Points
0
Jalood

Jalood

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2012
750 2 0
Huyu ni MWEHU mwengine bora afunge somo lake maana siku za CCM mwisho kwenye kisanduku cha kura hata japo kuwa Kikwete amesema hayuko tayari kukabidhi ushindi kwa Upinzani lakini atakabidhi akitaka asitake
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,247
Likes
20,355
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,247 20,355 280
Kumbe CCM inayapenda sana magazeti ya Shigongo, tuletewe story za kusadikika za Freemason na Jacklin Wolper au Wema Sepetu kufumaniwa!!

By the way amani yetu Watanzania yeye haimuhusu aende Somalia kwa Wasomali wenzake ndio awahubirie amani.
 
Tatu

Tatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2006
Messages
1,079
Likes
38
Points
145
Tatu

Tatu

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2006
1,079 38 145
Too bad Mr. Kinana. Kibaya zaidi, wewe na safu yako ya viongozi wa juu wa chama chako na serikali ya chama chenu mmekaa kimya makda wenu wanavyowatishia wananchi na hata viongozi wa vyama vya upinzani. Mmekaa kimya mnafurahia yanayotokea kulinda maslahi yenu na mafisadi wenzako.

Ningependa uniambie ni "Dola gani" dunia hii iliyokuwa na mkono wa chuma ambayo imedumu milele. Badala ya kujifunza na kutumia busara mlizopewa bura na Mola, mmeng'ang'ania ubinafsi na ubadhirifu usiokuwa kifani.

 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
16,522
Likes
9,325
Points
280
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
16,522 9,325 280
Kumbe CCM inayapenda sana
magazeti ya Shigongo, tuletewe story za kusadikika za Freemason na
Jacklin Wolper au Wema Sepetu kufumaniwa!!

By the way amani yetu Watanzania yeye haimuhusu aende Somalia kwa
Wasomali wenzake ndio awahubirie amani.
Huyo jangiri ni m-CUF hana lolote awazalo zaidi ya kuangamiza tembo wetu.
 
R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
6,294
Likes
1,262
Points
280
R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
6,294 1,262 280
huyu ni mwehu mwengine bora afunge somo lake maana siku za ccm mwisho kwenye kisanduku cha kura hata japo kuwa kikwete amesema hayuko tayari kukabidhi ushindi kwa upinzani lakini atakabidhi akitaka asitake
tupe ushahidi wa jk kwa post yako.
 
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,537
Likes
43
Points
145
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,537 43 145
kinana is a leader of terror party,he is one of the terrorist that organise missions to killing elephants and the party that mission in killing,hijacking,kidnapping and toturing journolists to weaken media transparency,he is an elephant poacher,coward leader and corrupt.
HE GAVE A RASH STATEMENT THAT INTENDED TO ESCALATE MEDIA REPORTING,tribalism,religous conflicts are ccm agenda,how should a reckless statement to divide the nation be reported differently to save THE PARTY AND LEADERS that mission to divide the people even at the bloody shed cost to just prolong their leadership under the policy of "divide and rule"?Poor kinana.
REMEMBER GOD IS LIVING,you will collect no wealth with you in you grave,you will leave everything collected from money embuzlement and poaching.
MPUUZI KWELI,WANATEKA,WANAUA NA KUTESA,WANALIGAWA TAIFA KWA UKABILA,UKANDA UDINI ALAFU WANAWASINGIZIA NA KUWATISHA WAANDISHI NA HATA KUWAUA KAMA MWANGOSI.utajibu yote siku ya kiama
 
J

J.K.Rayhope

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Messages
316
Likes
1
Points
0
J

J.K.Rayhope

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2011
316 1 0
KINANA anaongea kutokana na weredi wa waandishi wa habari wanaoandika udaku badala ya habari au wakitumia source za viongozi wa siasa; Kama wangekuwa wanareport researched report sijui kama kuna tatizo;
Why don't u rest in peace?
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,418
Likes
1,721
Points
280
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,418 1,721 280
Zamani nilijua kisahara ni busara kumbe . . . . . . . .
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,232
Likes
7,103
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,232 7,103 280
Na huyo Mr arap Sang amehukumiwa au ni mtuhumiwa tu Mr Kinana?
 
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
1,809
Likes
4
Points
0
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
1,809 4 0
Bado ninawasi wasi kama Kinana anauchungu wowote na damu ya watanzania!
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,634
Likes
2,316
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,634 2,316 280
Kumbe CCM inayapenda sana magazeti ya Shigongo, tuletewe story za kusadikika za Freemason na Jacklin Wolper au Wema Sepetu kufumaniwa!!

By the way amani yetu Watanzania yeye haimuhusu aende Somalia kwa Wasomali wenzake ndio awahubirie amani.

Sio kama wanapenda ila hawana jinsi na wanasoma ili kujua kuna nini humo, na hizi ni kazi za Kinana na Nape. Mbona wote wako humu JF na ni wapenzi wakubwa sana wa mablogu ya watanzania. Wao wanasoma kila blogu hata za kipuuzi ili tu wapate habari na kuanzisha propaganda zao dhidi ya chadema, cuf, JF, n.k.
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,632