Nape vs mbowe pelekeni huo ushahidi polisi; na sio kwenye vyombo vya habari

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
nimepitia baadhi ya vyombo vya habari vikimnukkuu NAPE NNAUYE akiwatuhumu CHADEMA kuhusika na kulipuliwa kwa bomu na kusema anao ushahidi vilevile jana MH MBOWE akihojiwa ITV alisema polisi wanahusika wakitumwa na serikali sasa mimi naona ushahidi huo ungepelekwa POLISI na sio kwenye vyombo vya habari kwani suala hili ni zito na linagusa usalama na ustawi wa wananchi.
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
 
Mbowe alishasema hana imani na jesh la polisi. Mi nadhani Nape kwa kuwa bado ana imani na jeshi la polisi, ingetakiwa awe ameshafungua kesi zamani. Anachofanya ni siasa tu, hana data.
 
mkuu wanasiasa wanapenda kusifiwa na kushangiliwa kama wakipeleka polisi nani atawasifia na kuwashangilia.
 
nimepitia baadhi ya vyombo vya habari vikimnukkuu NAPE NNAUYE akiwatuhumu CHADEMA kuhusika na kulipuliwa kwa bomu na kusema anao ushahidi vilevile jana MH MBOWE akihojiwa ITV alisema polisi wanahusika wakitumwa na serikali sasa mimi naona ushahidi huo ungepelekwa POLISI na sio kwenye vyombo vya habari kwani suala hili ni zito na linagusa usalama na ustawi wa wananchi.

Vyombo vyote vya habari vitoe air time kwa Mbowe tuwekee ushhidi huo, na nape pia aweke ushahidi wake hadharani kwenye vyombo vya habari sisi wananchi wenyewe ndo tuamue nanai anaonyesha ushahidi wa kweli. Hatuliamini tena Jesho la Polisi. Au la ushahidi ukabidhiwe kwa mwendesha mashtaka wa The Hague ikiwa ni pamoja na picha za Mwandishi wa Channel TEN, Iring Marehemu Mwangosi na Nape pia atuletee ushahidi wa namna CHADEMA wlivyohusika kumuu Mwangosi kule Nyororo.
 
Huu ushauri wa ajabu sana, yaani ushahidi wa kuishutumu polisi upelekwe polisi? Inaingia akilini kweli?
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.

takataka....
 
nimepitia baadhi ya vyombo vya habari vikimnukkuu NAPE NNAUYE akiwatuhumu CHADEMA kuhusika na kulipuliwa kwa bomu na kusema anao ushahidi vilevile jana MH MBOWE akihojiwa ITV alisema polisi wanahusika wakitumwa na serikali sasa mimi naona ushahidi huo ungepelekwa POLISI na sio kwenye vyombo vya habari kwani suala hili ni zito na linagusa usalama na ustawi wa wananchi.

Serikali dhaifu mbona haijamkamata huyo Kiongozi?
 
nimepitia baadhi ya vyombo vya habari vikimnukkuu NAPE NNAUYE akiwatuhumu CHADEMA kuhusika na kulipuliwa kwa bomu na kusema anao ushahidi vilevile jana MH MBOWE akihojiwa ITV alisema polisi wanahusika wakitumwa na serikali sasa mimi naona ushahidi huo ungepelekwa POLISI na sio kwenye vyombo vya habari kwani suala hili ni zito na linagusa usalama na ustawi wa wananchi.

Wewe nawe, wapeleke polisi ipi? anaetuhumiwa ni polisi, bado unataka wapelekewe ushahidi kuthibitisha kuhusika kwao? Umefika wakati sasa tujaribu kufikiria nje ya box. Mpaka leo bado unaamini kuwa jeshi hili la polisi lipo kwa ajili ya kulinda usalama wetu kweli?
 
Back
Top Bottom