Wassira,Nchemba na Nape wahojiwe...kauli zao zimekuwa na utata mkubwa.

N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Likes
10
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 10 0
Viongozi hawa wamekuwa wakitoa kauli mbalimbali zenye utata kiasi ambacho kinatuchanganya sisi watanzania. Kauli yeyote ikisemwa lazima jambo litokee,ccm kulikoni? Membe alisema,ana maadui 11 wawili wandishi wa habari,kibanda akaumizwa,Pinda liwalo na liwe na likawa kwa ulimboka.CCM kaeni chini mjitathimini,vinginevyo mnaleta machafuko.Hii nchi sio yenu ni ya watanzania wote,kwa nini mnang'ang'ania madaraka?

Mosi,Wassira alisema,kabla ya mwaka 2015 alisema chadema lazima ife,na chadema ni taasis iliyoundwa na watu,je mpango wake ni kuua watu au ni kuua jina? Utata wa kauli yake unakuja anaposema lazima ife,huwezi kuua chama kama hujaua watu na chama ni watu(viongozi,wanachama,washabiki na wapenzi wa chama) sio miti.Kwa hiyo tukio la Arusha lililotokea mlengwa mkuu ni Mbowe na Lema,hii ni dhahiri kuwa kauli ya Wasira iko katika utekelezaji.Huyu mtu tuhuma hizi lazima anahusika. Nasema ivyo kwa kuwa hajaonesha ni jinsi gani chama kitakufa aidha kwa shari au kwa heri.CCM na serikali hatuwaelewi.
Pili,Nchemba amekuwa na kauli zinazohusiana na mauaji katika kauli yake ya kwamba Arusha msipoichagua CCM mtakufa' huu ni mwendelezo tu wa kauli zinazopelekea mauaji.Na huu unaweza kuwa ni mpango maalumu wa kisiasa kwa kuwa Nchemba,Wassira na Nape they have authorities and he has delegated responsibility and behind them there is power.Kauli yake hii ni dhahiri kuwa iko katika utekekezaji.
HUWEZI KUFANYA JAMBO BILA KUFIKIRIA,hivyo kauli hizi ni dhahiri kuwa Viongozi wa ccm na serikali yake ni watuhumiwa namba moja,hili halina ubishi.
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
26
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 26 0
Nakuunga mkono 1000%
 
D

duchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Messages
1,766
Likes
3
Points
0
D

duchi

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2012
1,766 3 0
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Likes
10
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 10 0
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
mshamba kweli wew,huwezi kumchukia mtu kama hajakukosea,kwa hiyo wanavyofanya mafisadi na wang'oa kucha wenzio ni sahihi? Utakufa kibudu wewe,hupati chochote zaidi ya buku saba kutoka Lumumba.Mtu afanye ufisadi,wizi na mauaji yey halafu uje kumtetea,hujitambui kafie mbali huko na pesa zenu za kinyonyaji
 
Inanambo

Inanambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
2,981
Likes
1,252
Points
280
Inanambo

Inanambo

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
2,981 1,252 280
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
Ingekuwa hivyo wangelipua mikusanyiko ya watu Tanzania yote.Kumbuka nchi ya Tanzania si Arusha tu na Iringa. Hizi 'Defence Mechanisms, za Wapinzani wa CHADEMA ili waonekane hawafai. Lakini kumbukeni mnamwaga Damu za WaTz wasio na hatia ambao wamekubali kwa hiari yao kuamini Chama wanachokipenda. Mnawatia Wananchi wa Arusha kwenye matatizo ambayo hawakuchagua. Ikiwa wapinzani wa CHADEMA wamekataliwa Arusha si Busara wala haki kulazimisha kukubalika kwa kumwaga damu isiyo na hatia tena ya Watoto wadogo. Ni aibu kwa nchi yetu kuwa na Upinzani wa Uhasama kiasi hiki. Wote ni Watanzania wenye haki sawa na uhuru wa kuchagua Chama cha Siasa atakacho mtu bila kutishwa.
 
G

Gwakisa Mwandule

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
521
Likes
2
Points
35
G

Gwakisa Mwandule

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
521 2 35

Ulishafafanuliwa siku ileile kwamba deni la taifa litaongezeka sisiem ikiwa madarakani,rushwa haitaisha kama ambavyo hosea analalamika na raisi wako kuhongwa suti ili afiche uchi kwa gharama za mtanzania,rasilimali za taifa zitaporwa kama twiga walivyopandishwa ndege,kinana anavyomaliza tembo,mtwara wanavyouliwa na Ccm,Ikulu inavyouza dawa za kulevya kupitia Riz1,mauzo ya bandari ya bagamoyo kwa wachina,mauaji ya mwangosi,kibanda,ulimboka na ushetani kama huo unaendelea kufanya Nchi isitawalike hata kama huna akili hope unashuhudia kwa maumivu makali unayoyapata..Unafikiri watanzania ni maboga kiasi hicho
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Likes
10
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 10 0
Ingekuwa hivyo wangelipua mikusanyiko ya watu Tanzania yote.Kumbuka nchi ya Tanzania si Arusha tu na Iringa. Hizi 'Defence Mechanisms, za Wapinzani wa CHADEMA ili waonekane hawafai. Lakini kumbukeni mnamwaga Damu za WaTz wasio na hatia ambao wamekubali kwa hiari yao kuamini Chama wanachokipenda. Mnawatia Wananchi wa Arusha kwenye matatizo ambayo hawakuchagua. Ikiwa wapinzani wa CHADEMA wamekataliwa Arusha si Busara wala haki kulazimisha kukubalika kwa kumwaga damu isiyo na hatia tena ya Watoto wadogo. Ni aibu kwa nchi yetu kuwa na Upinzani wa Uhasama kiasi hiki. Wote ni Watanzania wenye haki sawa na uhuru wa kuchagua Chama cha Siasa atakacho mtu bila kutishwa.
kwa kuongezea wanaoua ni polisi na chadema haina dola,na polisi inafanya kazi kwa maagizo kutoka makao makuu ya polisi,serikali ya ccm bila kuficha ukweli inahusika.
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Viongozi hawa wamekuwa wakitoa kauli mbalimbali zenye utata kiasi ambacho kinatuchanganya sisi watanzania. Kauli yeyote ikisemwa lazima jambo litokee,ccm kulikoni? Membe alisema,ana maadui 11 wawili wandishi wa habari,kibanda akaumizwa,Pinda liwalo na liwe na likawa kwa ulimboka.CCM kaeni chini mjitathimini,vinginevyo mnaleta machafuko.Hii nchi sio yenu ni ya watanzania wote,kwa nini mnang'ang'ania madaraka?

Mosi,Wassira alisema,kabla ya mwaka 2015 alisema chadema lazima ife,na chadema ni taasis iliyoundwa na watu,je mpango wake ni kuua watu au ni kuua jina? Utata wa kauli yake unakuja anaposema lazima ife,huwezi kuua chama kama hujaua watu na chama ni watu(viongozi,wanachama,washabiki na wapenzi wa chama) sio miti.Kwa hiyo tukio la Arusha lililotokea mlengwa mkuu ni Mbowe na Lema,hii ni dhahiri kuwa kauli ya Wasira iko katika utekelezaji.Huyu mtu tuhuma hizi lazima anahusika. Nasema ivyo kwa kuwa hajaonesha ni jinsi gani chama kitakufa aidha kwa shari au kwa heri.CCM na serikali hatuwaelewi.
Pili,Nchemba amekuwa na kauli zinazohusiana na mauaji katika kauli yake ya kwamba Arusha msipoichagua CCM mtakufa' huu ni mwendelezo tu wa kauli zinazopelekea mauaji.Na huu unaweza kuwa ni mpango maalumu wa kisiasa kwa kuwa Nchemba,Wassira na Nape they have authorities and he has delegated responsibility and behind them there is power.Kauli yake hii ni dhahiri kuwa iko katika utekekezaji.
HUWEZI KUFANYA JAMBO BILA KUFIKIRIA,hivyo kauli hizi ni dhahiri kuwa Viongozi wa ccm na serikali yake ni watuhumiwa namba moja,hili halina ubishi.
Nani atawahoji kwa serikali hii ya wauaji, kwa vile kauli zao tunazo, wangojee tu kupelekwa the Hague maana kauli za uchochezi na zenye kuzua tafrani ndo akina Okampo na bi Souda wanazisubiria tu. Kila mtu atavuna alichopanda, nani alijua Idd Amin, Obote, Ngwema, Doe, Mobotu, akina Saddam, Gaddaff na ha Hittler yangewakuta yaliyo wakuta?
 
G

Gwakisa Mwandule

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
521
Likes
2
Points
35
G

Gwakisa Mwandule

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
521 2 35
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
Umenajisiwa na Ccm wewe
 
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Likes
10
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 10 0
Nani atawahoji kwa serikali hii ya wauaji, kwa vile kauli zao tunazo, wangojee tu kupelekwa the Hague maana kauli za uchochezi na zenye kuzua tafrani ndo akina Okampo na bi Souda wanazisubiria tu. Kila mtu atavuna alichopanda, nani alijua Idd Amin, Obote, Ngwema, Doe, Mobotu, akina Saddam, Gaddaff na ha Hittler yangewakuta yaliyo wakuta?
Waache wajisikie kama miungu watu,The Hague inawasubiri.Hofu yao kuu ni kwamba iwapo Chadema itashika dola nani atabaki? Wote watanyea debe! Na sura zao mbaya kama nyani.
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Wako wapi akina Mzee Msekwa, Mwinyi, Mkapa, Warioba, Salim,Butiku, hivi hamuioni aibu mnayotuletea katika nchi yetu. Kama watu hawana tena uwezo wa kuongoza si wakapumzike majumbani kwao tu. Ebu jitokezeni mmalize jambo hili. Mbona wale waliouawa Arusha kipindi cha mwanzo hamkuwaingilia na mambo yakaisha tumesahau? TUMIENI Busara kidogo tu hamtadharaulika.
 
Jose M

Jose M

Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
64
Likes
1
Points
15
Jose M

Jose M

Member
Joined Feb 3, 2011
64 1 15
Mimi naomba tu muongozo KWA NINI NAPE AMJIBU MBOWE KUHUSIANA NA BOMU LA ARUSHA? ANASEMA BOMU LIMEPANGWA NA CHADEMA WENYEWE KWANI NAPE NI SERIKALI? KWA NINI SERIKALI ISIJIBU YENYEWE? KWA NINI NAPE ASIJIBU KAULI INAYOTOLEWA KWA CHAMA CHAKE TU? KWANI MBOYE KUN MAHALI ALITAJA CCM YA NAPE? HIVI HII NCHI KIONGOZI WA CHAMA ANAJIBU KWA NIABA YA SERIKALI?
 
Forum statistics

Threads 1,272,596
Members 490,036
Posts 30,454,659