S Sanzjr Hamma Member Jun 17, 2013 42 3 Jun 18, 2013 #1 Tufuate mfumo wa kiutawala ambao serikali na sheria havitakiwi (ANARCHISM) ili kuukomesha utawala huu wa ajabu duniani.
Tufuate mfumo wa kiutawala ambao serikali na sheria havitakiwi (ANARCHISM) ili kuukomesha utawala huu wa ajabu duniani.
life is Short JF-Expert Member Apr 1, 2013 4,741 3,031 Jun 18, 2013 #2 How, it works..? tujuze mantiki !
S Sanzjr Hamma Member Jun 17, 2013 42 3 Jun 18, 2013 Thread starter #3 mantiki ni kuchukua hatua stahiki kwa wakati muafaka dhidi ya unyama wowote kwa maslahi ya umma kwa ujumla wake!
mantiki ni kuchukua hatua stahiki kwa wakati muafaka dhidi ya unyama wowote kwa maslahi ya umma kwa ujumla wake!