Lukuvi lukuvi lukuvi nipe fedha yangu milioni mia moja sasa hivi


B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
764
Likes
2
Points
33
B

Baba Hellen

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
764 2 33
Kile ambacho kilitokea pale kanisani na kile ambacho kimetokea pale kwenye mkutano wa siasa juzi jumamosi ya tarehe 15 limeidhihirishia dunia kwamba TANZANIA sio ile ya NYERERE iliyo kuwa na umoja mshikamano na uzalendo.Mambo yamebadilika sana nchi imesahau misingi yake ya UMOJA MSHIKAMANO UPENDO NA UZALENDO .wanasiasa wametugawa wanatutumia kama chanzo cha uchumi na maslahi yao bainafsi.
Hivi baada ya mauaji ya kutisha haya ya kinyama kuna umuhimu wa kuwa na amani na serikali ilio madarakani kweli? HEBU FUATILIA HAYA MATUKIO
1 Baada ya mauaji ya albino kuitikisa nchi na wanasiasa kuhusishwa na mauaji haya lipiu limefanyika kuhakikisha haya tokei tena ndani ya SERIKALI HII YA KIKWETE
2 Wauwaji wa MWANGOSI leo hii wako wapi wameadhibiwa vipi na serikali ya CCM imefanya nini?Nime shuhudia kamanda wapolisi mkoa wa IRINGA MSHUKIWA NO. MOJA AKIPANDISHWA CHEO NA KUSOGEZWA KARIBU NA IKULU.
3 Machafuko ya kidini yaliotokea MWANZA NA NZANZIBAR.IKULU na jeshi la polisi limefanya nini ? Kwa waasisi wa machafuko haya yanayoendelea nchini
4 ULIMBOKA NA KIBANDA masahibu walio yapata serikali imefanya nini na imewachukulia hatua gani walio watesa na kuwa umiza watetezi wa haki za wanyonge?
aina ya somo ambalo nimelipata
Hakuna ndani ya CCM na serikali yake wakututetea wananchi kwani mipango ya haya yote SERIKALI YA CCM INAHUSIKA.

LUKUVI ,NCHIMBI ,MWEMA, hawa ni majenti wakuhakikisha serikali ya ccm haishindwi na sehemu inayoonekana kushindwa nguvu yao haina budi kutumika
SPEAKER wabunge na idara zake zote ndani ya bunge ni lazima zihakikishe mijadala inayo husu kulitetea taifa hipatiwi mwanya wa kuzungumzwa BI MAKINDA kwa hili amejitahidi sana hapa anastahili walau pongezi kwa utii ndani ya chama chake kwanza tanzania badae
IDARA YA USALAMA WA TAIFA IMEFANIKIWA KUWA IDARA YA USALAMA WA CCM NA MAFISADI WAKE
mikakati mingi ya mauaji ndani ya nchi hii ina mkono wa idara nyeti hii ndani ya taifa lolote lile duniani cha kujiuliza ni kwamba ccm TANZANIA IMEWAKOSEA NINI PAMOJA NA WATANZANIA WAKE ?NB KUITETEA CCM INA HITAJI EXTRA FORCE KWANI MWILI PAMOJA VIUNGO VYAKE NAVYO HUJIGAWANYA


 
M

MLO

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
157
Likes
24
Points
35
M

MLO

Senior Member
Joined Apr 2, 2012
157 24 35
chama cha mapinduzi hakina mwelekeo wala dira
 

Forum statistics

Threads 1,273,480
Members 490,421
Posts 30,482,840