Wassira na ndimi mbili!

M

Msendekwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Messages
440
Likes
1
Points
35
M

Msendekwa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2012
440 1 35
Wkt anaelezea tukio la Kibanda kuumizwa, Wassira alisema:
"Kibanda ni nani hata serikali imteke? Ingekuwa Mbowe au Dr Slaa, ningeelewa"
Leo asbh kwenye jambo Tanzania,
akijibu madai ya Mbowe kuwa bomu lilirushwa kwa maelekezo ya serikali wakitaka kumuua yeye,
Wassira kasema:
"Mbowe kwanza sio tishio, alishindwa uchaguzi 2005 akipata kura laki 6,
nani atake kumuua?
Kwanza serikali gn isiyo na shabaha, irushe bomu wkt ametoka jukwaani?"

My take:
Huyu bwana anajichanganya.
Kule Bungeni alionesha kuwa Mbowe au Dr Slaa ni tishio na wanaweza kuwa target, na sio mtu mdogo km Kibanda.
Pia anaposema serikali gn haina shabaha, anamaanisha pale walengwa walipopigwa au kulipuliwa, ambapo shabaha ililengwa, hapo ndo serikali ilishiriki, kwa vile ina shabaha sana?
Hebu ajifunze kuitetea serikali kwa weledi, anapodhani anaitetea kumbe anazid kuichafua.
 
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
2,364
Likes
21
Points
135
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
2,364 21 135
busara zake ziko kwenye dole gumba lake,siku ukimuona kapeleka mkono kichwani upande wa kushoto mwa paji la uso wake ujue siku hyo ataongea pampers tupu<?>
 
KIMICHIO

KIMICHIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
1,183
Likes
3
Points
135
KIMICHIO

KIMICHIO

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2010
1,183 3 135
Naombeni kuuliza.Ivi wasira ndo yule baba anaefanana na yule mnyamapori aliyechorwa kwenye shilingi mia tano?
busara zake ziko kwenye
dole gumba lake,siku ukimuona kapeleka mkono kichwani upande wa kushoto
mwa paji la uso wake ujue siku hyo ataongea pampers
tupu<?>
 
N

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Messages
999
Likes
6
Points
135
N

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2010
999 6 135
shidani vyeo tunavyopeana bila kujua wajibu na majukumu yake, tanguachaguliwe kuwa waziri wa mahusiano amekuwa kinara wa kujenga mifarakano nchini. ikumbukwehata swala la kuchinja alilimwagia petroli yeye, wasira amejaa hira nauhasama na mpenda sifa, hawezi kujenga mahusiono mazuri katika jamii, hatawarioba anajua hilo
 
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
2,364
Likes
21
Points
135
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
2,364 21 135
Naku pm # yake umuulize kama ni yeye mkuu
 
N

navinama

Member
Joined
Jun 10, 2013
Messages
14
Likes
0
Points
0
N

navinama

Member
Joined Jun 10, 2013
14 0 0
Tumemzowea hana lolote wasira :kev:mbowe kasema anaushahidi tunautaka huo ushaidi uwe wazi kimataifa sio polisi wajichunguze. kwakuwa ndiyo mtuhumiwa namba moja, kwanini wasira na serikari yako mnakuwa waoga kunanini hapo?:nod:
 
Bubu Msemaovyo

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
3,435
Likes
62
Points
145
Bubu Msemaovyo

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
3,435 62 145
Wkt anaelezea tukio la Kibanda kuumizwa, Wassira alisema:
"Kibanda ni nani hata serikali imteke? Ingekuwa Mbowe au Dr Slaa, ningeelewa"
Leo asbh kwenye jambo Tanzania,
akijibu madai ya Mbowe kuwa bomu lilirushwa kwa maelekezo ya serikali wakitaka kumuua yeye,
Wassira kasema:
"Mbowe kwanza sio tishio, alishindwa uchaguzi 2005 akipata kura laki 6,
nani atake kumuua?
Kwanza serikali gn isiyo na shabaha, irushe bomu wkt ametoka jukwaani?"

My take:
Huyu bwana anajichanganya.
Kule Bungeni alionesha kuwa Mbowe au Dr Slaa ni tishio na wanaweza kuwa target, na sio mtu mdogo km Kibanda.
Pia anaposema serikali gn haina shabaha, anamaanisha pale walengwa walipopigwa au kulipuliwa, ambapo shabaha ililengwa, hapo ndo serikali ilishiriki, kwa vile ina shabaha sana?
Hebu ajifunze kuitetea serikali kwa weledi, anapodhani anaitetea kumbe anazid kuichafua.

Huyu Wassira "The Gorilla" Alishawahi kuua mtu ufukweni mwa bahari alikuwa mwanafunzi wa IDM nadhani alikuwa amechanganyikiwa kwa kuwa nje ya system kipindi hicho ilikuwa ni kabla ya kujiunga na NCCR Mageuzi kisa eti amekaa eneo ambalo yeye alikuwa ameandika marufuku yeyote kukaa maeneo yale. Sasa hivi anajidhihirisha kwamba watu wote ambao ni maarufu zaidi ya CCM huwa ni tishio na hustahili kuuawa. Sura kama mganga wa kienyeji!! Naomba mnisamehe nimechukia sana samahani!!!
 
kisururu

kisururu

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2011
Messages
331
Likes
3
Points
35
kisururu

kisururu

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2011
331 3 35
Naombeni kuuliza.Ivi wasira ndo yule baba anaefanana na yule mnyamapori aliyechorwa kwenye shilingi mia tano?
Ni yule anayefanana na wale wadudu wa Gombe national park
 
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
1,809
Likes
4
Points
0
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
1,809 4 0
Hivi ukiopata kura Laki 6 ndiyo sahihi kuwawa na bomu, mbona sisi hatusemi yeye ni shihi kuuwawa na bomu kwasababu anafanana na gorilla? Tanzania imeisha poteza muelekeo
 
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
1,821
Likes
9
Points
135
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
1,821 9 135
NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
Nadhani waliosema ndiyo wameshinda!
 
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
1,821
Likes
9
Points
135
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
1,821 9 135
Kwa hiyo anayepaswa kuuliwa ni aliyepata kura ngapi???????!
Kwa hiyo Mwangosi aliuliwa kwa sababu alipata kura au???!
Hili limjamaa roho yake kama uso wake...!
Halafu hata watangazaji wa Tanzania wengi wapo wapo tu!
Utamhojije mtu kwaa kutegemea taarifa alizoziandika kwenye karatasi?!
Huyu Wassira angalikutana na Tido Mhando................!
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
26
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 26 0
Wkt anaelezea tukio la Kibanda kuumizwa, Wassira alisema:
"Kibanda ni nani hata serikali imteke? Ingekuwa Mbowe au Dr Slaa, ningeelewa"
Leo asbh kwenye jambo Tanzania,
akijibu madai ya Mbowe kuwa bomu lilirushwa kwa maelekezo ya serikali wakitaka kumuua yeye,
Wassira kasema:
"Mbowe kwanza sio tishio, alishindwa uchaguzi 2005 akipata kura laki 6,
nani atake kumuua?
Kwanza serikali gn isiyo na shabaha, irushe bomu wkt ametoka jukwaani?"

My take:
Huyu bwana anajichanganya.
Kule Bungeni alionesha kuwa Mbowe au Dr Slaa ni tishio na wanaweza kuwa target, na sio mtu mdogo km Kibanda.
Pia anaposema serikali gn haina shabaha, anamaanisha pale walengwa walipopigwa au kulipuliwa, ambapo shabaha ililengwa, hapo ndo serikali ilishiriki, kwa vile ina shabaha sana?
Hebu ajifunze kuitetea serikali kwa weledi, anapodhani anaitetea kumbe anazid kuichafua.
Naomba kumsahihisha huyu mjamaa aliyelewa madaraka -- na wengineo wote wanaokazania kusema iweje Mbowe atoke jukwaani ndiyo arushiwe bomu -- kwamba kufuatana na wengi waliokuwapo pale bomu lilirushwa kutoka nje ya uwanja -- nyuma ya jukwaa hivyo mrushaji alingoja hadi Mbowe ateremke jukwaani. Jukwaa lina paa hivyo angebakia jukwaani pengine asingedhurika.
 
Inanambo

Inanambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
2,981
Likes
1,252
Points
280
Inanambo

Inanambo

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
2,981 1,252 280

Huyu Wassira "The Gorilla" Alishawahi kuua mtu ufukweni mwa bahari alikuwa mwanafunzi wa IDM nadhani alikuwa amechanganyikiwa kwa kuwa nje ya system kipindi hicho ilikuwa ni kabla ya kujiunga na NCCR Mageuzi kisa eti amekaa eneo ambalo yeye alikuwa ameandika marufuku yeyote kukaa maeneo yale. Sasa hivi anajidhihirisha kwamba watu wote ambao ni maarufu zaidi ya CCM huwa ni tishio na hustahili kuuawa. Sura kama mganga wa kienyeji!! Naomba mnisamehe nimechukia sana samahani!!!
The Great APE at work. Still undergoing Evolution.
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Wkt anaelezea tukio la Kibanda kuumizwa, Wassira alisema:
"Kibanda ni nani hata serikali imteke? Ingekuwa Mbowe au Dr Slaa, ningeelewa"
Leo asbh kwenye jambo Tanzania,
akijibu madai ya Mbowe kuwa bomu lilirushwa kwa maelekezo ya serikali wakitaka kumuua yeye,
Wassira kasema:
"Mbowe kwanza sio tishio, alishindwa uchaguzi 2005 akipata kura laki 6,
nani atake kumuua?
Kwanza serikali gn isiyo na shabaha, irushe bomu wkt ametoka jukwaani?"

My take:
Huyu bwana anajichanganya.
Kule Bungeni alionesha kuwa Mbowe au Dr Slaa ni tishio na wanaweza kuwa target, na sio mtu mdogo km Kibanda.
Pia anaposema serikali gn haina shabaha, anamaanisha pale walengwa walipopigwa au kulipuliwa, ambapo shabaha ililengwa, hapo ndo serikali ilishiriki, kwa vile ina shabaha sana?
Hebu ajifunze kuitetea serikali kwa weledi, anapodhani anaitetea kumbe anazid kuichafua.

Hello ndugu yangu naomba nikwambie kwamba kabla ya ushahidi kuwekwa hadharani utasikia mengi, Kama ni msomi wa Biblia utakubaliana nami kwamba pale ambapo roho wa Mungu anapoondoka kwa watawala, watabubujikwa na maneno mengi yanayopishana mpaka hata watoto wadogo watujua uongo na ukweli.

Wewe wape muda tu kwani damu ya waliouawa, waliojeruhiwa inawatesa. Kama wangekuwa na mshauri nadhani wangekaa kimya ili awepo mtu mmoja tu wa kutoa kauli za serikali,

Ebu tafakari kauli ya Mulongo, Lukuvi, Wassira, Nape na Mwigulu awezi kusema chochote atakaponyanyua mdomo utasikia majibu ya maswli yote mnayoyauliza hapa jamvini. Wale wanaodai serikali hii ni dhaifu wanawaonaje polisi waliokwenda kuangalia ulinzi wa watu na mali zao afu muhalifu anakuja anatenda uhalifu na anatoroka bila kushikwa halafu wakiambiwa ni serikali dhaifu wanabisha na wantokwa macho ya chuki na hassira kama mjusi aliyebanwa mlangoni?
Kauli ya Lukuvi kwmba maaskari ilibidi wajitetee baada ya kuzuiliwa na kushambuliwa na wananchi je wamekamatwa watu wangapi ambao waliwashambulia maaskari polisi, waliwashambuliaje wakati wao na silaha za moto/

Ujue elimu nayo ni muhimu ingawaje hao wenye nao ndo hawa hawa wanaosainishwa mikataba ya kupata mrabaha wa asilimia tatu halafu wanashangilia kwamba wamewaleta wawekezaji.

Wito wangu kwa wote wenye Imani ni kumwambia Mungu ashughulike na hawa wauaji nawapanga mauaji ya watu wasiokuwa na hatia. Mungu anza kuwaadhibu hawa jamaa mmoja baada ya mwingine kwa pigo la aina moja ili watu wako wenye nia njema wajue hyo ni majibu ya Mungu aliye hai.

TAFAKARI
 
Forum statistics

Threads 1,272,653
Members 490,095
Posts 30,456,201