mbwa mwizi
Member
- Apr 23, 2013
- 88
- 17
Polisi wamemuua kwa kumpiga risasi kijana Rajabu Hamisi Mwashitete njia panda ya iyula, baada ya polisi kutaka kuwanyang'anya mafuta Rajabu na mwenzake ambaye hatujafanikiwa kupata jina lake.
Hivi sheria haziruhusu polisi kama taasisi kushitakiwa?! Wanasheria hebu tujuzeni!
Sijaelewa, wameua "baada ya polisi kutaka kuwanyang'anya mafuta" kivipi??