John Tendwa unangoja nini kuifuta CCM?

John Tendwa unangoja nini kuifuta CCM?

makoye2009

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
2,638
Reaction score
1,219
Jana kwenye taarifa ya habari usiku saa 2.00, Msajili wa Vyama John Tendwa alisema kuna sheria inayoweza kusababisha chama cha siasa kufutwa ikiwa itathibitika kwamba kimeshiriki katika kuchochea vurugu na uvunjifu wa Amani. Bwana Tendwa alikuwa akizungumzia tukio la mlipuko wa Bomu Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA.

John Tendwa amefafanua kuhusu hiyo sheria akisema kwamba ikitokea chama Tawala kama CCM kikafutwa maana yake ni kupindua serikali kwa kalamu kwa maana ya kuondoa Rais,Mawaziri,Wabunge na Kuvunja Bunge na kwa maana hiyo Uchaguzi mkuu unaweza kuitishwa haraka sana ili kuweka serikali nyingine madarakani. Kama ni chama kisichokuwa kwenye utawala basi kinapoteza Wabunge wake wote na kuanza upya.Tendwa alizungumzia kuhusu kauli za viongozi wa vyama hivi kuu pinzani na kubainisha kuwa zinauweka mstakabali wa Amani ya Nchi yetu kwenye mashaka makubwa.

Baada ya kusema hayo ningelipenda nimwombe Bwana John Tendwa kwa heshima na taadhima achukue maamuzi magumu ya kukifutilia mbali chama Tawala cha CCM maana ni dhahiri kuwa kimekuwa kikihusika na kauli tata zenye kuashiria uvunjifu wa amani na vitendo vingine vya kigaidi kwa kuwatumia UWT na Polisi kuteka au kuua Madaktari,Wahariri na Watanzania wengine kubambikiwa kesi. Haihitaji uwe na PhD au Masters ya ushushushu au sheria kubaini kwamba mlipuko wa Bomu Arusha ulipangwa na CCM wakishirikiana na Polisi kufanikisha Uchaguzi wa madiwani na hivo kupelekea umwagikaji wa damu za watanzania wasio na hatia.

Tunajua Uchaguzi ni Gharama. Siku zote Demokrasia ni gharama. Lakini gharama ya fedha huwezi kulinganisha na GHARAMA za UHAI wa Watanzania unaopotea kwa kusababishwa na Utawala mbovu wa Chama Tawala CCM. Kama Bwana Tendwa ni mfuatiliaji mzuri wa matukio ya Chama cha CCM atakubaliana nami kuwa kwa sasa CCM ni chama cha Kidikteta, Kigaidi na cha Kifisadi. Ni heri kuingia gharama za Uchaguzi Mkuu kabla ya mwaka 2015 lakini nchi iendelee kubaki katika mikono yenye Amani na Salama.

Nawasilisha.
 
Mawazo yako safi sana, lakini pia yakupasa kujikumbusha kwamba CCM haikusajiliwa kama vyama vingine. Kama kuna anayejua vinginevyo basi atuletee namba ya Usajili ya usajili. Tunawashukuru CCM kwa kuonyyesha udhaifu huu mkubwa ili CHADEMA itoe elimu safi ya uraia kupitia mikutano ya hadhara na michango ya wabunge makini Bungeni.
 
Hathubutu Tendwa kukifuta CCM maana watamtowa kucha siku hiyo hiyo
 
mwigulu kuingiza mabomu ambayo yamelipuwa kanisa la olasiti na mkutano wa chadema je tendwa hayaoni haya?
 
Tendwa aifute ccm? Hiyo jeuri ataitoa wapi? Ulikwishaona nyoka anauma mkia wake?
 
jana kwenye taarifa ya habari usiku saa 2.00, msajili wa vyama john tendwa alisema kuna sheria inayoweza kusababisha chama cha siasa kufutwa ikiwa itathibitika kwamba kimeshiriki katika kuchochea vurugu na uvunjifu wa amani. Bwana tendwa alikuwa akizungumzia tukio la mlipuko wa bomu arusha kwenye mkutano wa chadema.

John tendwa amefafanua kuhusu hiyo sheria akisema kwamba ikitokea chama tawala kama ccm kikafutwa maana yake ni kupindua serikali kwa kalamu kwa maana ya kuondoa rais,mawaziri,wabunge na kuvunja bunge na kwa maana hiyo uchaguzi mkuu unaweza kuitishwa haraka sana ili kuweka serikali nyingine madarakani. Kama ni chama kisichokuwa kwenye utawala basi kinapoteza wabunge wake wote na kuanza upya.tendwa alizungumzia kuhusu kauli za viongozi wa vyama hivi kuu pinzani na kubainisha kuwa zinauweka mstakabali wa amani ya nchi yetu kwenye mashaka makubwa.

Baada ya kusema hayo ningelipenda nimwombe bwana john tendwa kwa heshima na taadhima achukue maamuzi magumu ya kukifutilia mbali chama tawala cha ccm maana ni dhahiri kuwa kimekuwa kikihusika na kauli tata zenye kuashiria uvunjifu wa amani na vitendo vingine vya kigaidi kwa kuwatumia uwt na polisi kuteka au kuua madaktari,wahariri na watanzania wengine kubambikiwa kesi. Haihitaji uwe na phd au masters ya ushushushu au sheria kubaini kwamba mlipuko wa bomu arusha ulipangwa na ccm wakishirikiana na polisi kufanikisha uchaguzi wa madiwani na hivo kupelekea umwagikaji wa damu za watanzania wasio na hatia.

Tunajua uchaguzi ni gharama. Siku zote demokrasia ni gharama. Lakini gharama ya fedha huwezi kulinganisha na gharama za uhai wa watanzania unaopotea kwa kusababishwa na utawala mbovu wa chama tawala ccm. Kama bwana tendwa ni mfuatiliaji mzuri wa matukio ya chama cha ccm atakubaliana nami kuwa kwa sasa ccm ni chama cha kidikteta, kigaidi na cha kifisadi. Ni heri kuingia gharama za uchaguzi mkuu kabla ya mwaka 2015 lakini nchi iendelee kubaki katika mikono yenye amani na salama.

si ccm tu na chadema afutilie mbali tumechoka na vurugu za chadema arusha kna mbowe hawatak kufanyia maandamano moshi kwa sababu wanajua hoteli zao na kna ndesamburo zpo moshi wanakuja kuivuruga arusha kila sku kwa kutumia wavuta bang na wapga debe na kusababsha kuua watoto wasio na hatia
 
aiseeee babayangu hizo ni kelele tu anazitoa huyo msajili wa vyama bosi wake anamwangalia tu
 
chadema nayo aifutilie mbali tumechoka na vurugu za chadema arusha kna mbowe hawatak kufanyia maandamano moshi kwa sababu wanajua hoteli zao na kna ndesamburo zpo moshi wanakuja kuivuruga arusha kila sku kwa kutumia wavuta bang na wapga debe na kusababsha kuua watoto wasio na hatia
 
Ina maana alikuwa na mkutano na jeshi la china maana anavaa na kofia ya jeshi la China.

Hivi yawezekana kweli Wachina ndiyo wafadhili wa Ugaidi wa Mwigulu Nchemba dhidi ya Chadema na Makanisa ya Wakristo????

Tumeambiwa Bomu lililoripuliwa Uwanja wa Soweto ni sawa na lile lililoripuliwa Kanisa la Olasiti na yote yametengenezwa China tena mwaka huu! Sasa Pinda na serikali yake wanangoja nini kufuatilia kutoka serikali ya China ili wajue Wachina wamemwuzia lini mwigulu Nchemba na kwa madhumuni gani???Je anataka kutumia kauli za Viongozi wa CHADEMA kuwa nchi haitatawalika kwa kuua watu na kuwageuzia kibao CHADEMA kweli??

Olasiti kiwete akasema atawakamata walioripua Bomu na kuwakata mapembe mpaka leo hii hakuanaliyekatwa mapembe wala mkia!!!!Mwigulu Nchemba amekaa mjengoni akifurahia kumwaga damu za Watanzania wenzetu!!! Hii haikubaliki bana!!!
 
Back
Top Bottom