Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

***MTAZAMO WANGU JUU YA MACHAFUKO JIJINI ARUSHA*** Martin Luther King aliwahi kusema... "To know the enemy is half the victory"; yaani "Kumfahamu adui ni nusu ya kushinda vita" Kwahiyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
salamu kwenu JF Huu ni ushindi mkubwa sana kwa chadema kwani kushinda kata sita kati ya kata ambazo zilikuwa zinagombewa ni ushindi. angalia Chadema ilikuwa inagombea kata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BONYEZA HAPA KUPATA NAKALA YAKO KAMA vile imeshindwa kusoma alama za nyakati, serikali imeamua kuchakachua mchakato wa marekebisho ya katiba mpya kwa kuandaa muswada ambao unapinga yote...
2 Reactions
225 Replies
51K Views
serikali ya Tanzania inayoongozwa na wahuni wa ccm wanasahau kuwa risasi inuwa binadamu haiwezi kuuwa FIKRA,mabomu yanatawanya umati lakini hayatawanyi ukweli.Arusha ccm haikubaliki kwa nini...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
  • Closed
Wananchi, wapenzi na wanachama wote wa CHADEMA tukutane Mount Meru Mortuary asubuhi saa tatu kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Judith Moshi aliyefia kwenye tukio la bomu tarehe 15/2013...
2 Reactions
76 Replies
7K Views
http://youtu.be/98mE-tYj1bs
0 Reactions
114 Replies
13K Views
Imekuwa kawaida kwa watanzania linapotokea tukio lolote la mauaji au mlipuko wa bomu kuwahusisha waislamu kana kwamba waislamu hawapendi Amani.Ukiangalia hata lile tukio la mlipuko wa kwanza wa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kamanda wa polisi kupitia chanel 10 amesema mh mbowe na mh lema wajisalimishe wenyewe polisi kwani wao ni viongozi na wanapaswa ktii sheria bila shuruti na kujieleza ni kwann walifanya mkusanyiko...
0 Reactions
104 Replies
7K Views
  • Closed
Ni wakati sasa kwa watanzania kuujua 'USANII' wa CHADEMA ambao wamekuwa wakitufanyia kwa muda mrefu sasa. USANII huo wamekuwa wakiufanya mara kwa mara bila ya watanzania kujua chochote, hali...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Serikali tunaisikiliza,inatuongoza.Inatulinda,tunaipenda. Inatuletea maendeleo,ya jana si ya leo. Lakini,sisi wananchi tusipuuzwe. Sisi wananchi ndio vinara. Ndio tunaichagua Serikaliy oyote ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Let us think inside the box, outside the box and trash the box and think without a box as well. Inside the box CCM wamepanga njama ya kulipua bomu kwenye mkutano wa CHADEMA ili wananchi waogope...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ni declare interest mimi ni mjumbe wa baraza la katiba..according kwa tume ya ndugu warioba kulingana na kalenda yake mabaraza yanaanza kukaa kuanzia tarahe 10 mwezi huu ambayo ni kesho,na kuanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Polisi wamemtaka Mbowe na Bwana Lema wathibitishe mara moja jinsi polisi walivyo husika katika mauaji ya Arusha,wakishindwa basi watachukuliwa hatua kali za kisheria. Maelezo haya yametolewa na...
1 Reactions
212 Replies
16K Views
Wanabodi habari zenu, Kuna jambo moja kubwa ambalo linaendelea saizi nchini lakini nimeona nilielezee kwa kadri ya uelewa wangu nalo si lingine bali VITA YA PROPAGANGA. Vita hii ni kama...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Hivi ni kweli ile chenji ya mabilioni ya rada imerudi?
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Wakuu, Kwa zaidi ya siku 10 nilikuwa likizo nyumbani Mbulu. Nikaamua kutumia likizo yangu Dongobesh ambako kulikuwa na uchaguzi wa Udiwani. Kama mnavyojua tuliwashinda ccm kirahisi. Na nitaeleza...
18 Reactions
66 Replies
10K Views
Ndugu wanajf ni imani yangu kuwa ni wazima na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Ndugu wanajf binafsi ninavyoelewa maana ya chama cha siasa kuwa ni muunganiko wa watuwenye lengo kuu moja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Hali ya Mambo nchini imekuwa tata na ya damu, Watanzania sasa tunaishi roho mkononi, hatujui nani wa kuulinda uhai wetu, Thamani ya uhai wa Mtanzania imeshuka kupita kiasi, Matukio...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
CHAMA CHA KIJAMII (CCK) MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM TAMKO KUHUSU TUKIO LA KUTUPWA BOMU KATIKA MKUTANO WA KISIASA WA CHADEMA HUKO ARUSHA 18th June 2013 Chama Cha Kijamii (CCK)...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, Ni imani yangu kuwa ni wazima na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Ndugu wanajf binafsi ninavyoelewa maana ya chama cha siasa kuwa ni muunganiko wa watuwenye lengo kuu moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom