Tumefanya Dhambi mbele Za Mungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumefanya Dhambi mbele Za Mungu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by akashube, Nov 3, 2010.

 1. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Japo nina ushahidi wa kutosha kuhusu kilichofanywa na majasusi hasa kwenye kura za urais lakini naomba nisizungumzie uchakachuaji kabla ya kuzungumzia udini.

  Ni dhahiri wengi wamempigia kura Dr. Slaa kwa ukristo wake

  Ni wazi wengi hawajampigia kura Dr. Slaa kwa ukristo wake

  Ni wazi wengi wamefanya hivyo kwa Prof Lipumba kwa uislamu wake.

  Dhambi hii imetosha kumfanya mwenyezi Mungu asinyoshe mkono wake kuzuia unajisi unaofanywa na Tume Ya Taifa ya Uchaguzi kwenye matokeo ya Kura Zetu.

  Kwa herini jukwaa la uchaguzi 2010, hamtaniona tena hapa, nawatakia kazi njema.

  Sina noma, hata ngedere akiwa Rais, wabunge walioko wanatosha kufanya mambo yaende sawa.

  HONGERA WOTE MLIOSHINDA KIHALALI.
   
 2. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  -Mbona hujasema ikiwa JK amepigiwa kura kwa uislamu wake?
  -Ni nani aliyekuwa busy kupiga majungu kuwa Slaa ni Padri kama sio CCM wenyewe?

  Acha hizo bana.....
   
Loading...