Hivi Baraza la Mawaziri la Kikwete kama akishinda litakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Baraza la Mawaziri la Kikwete kama akishinda litakuwaje?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Innolee, Nov 2, 2010.

 1. I

  Innolee Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumeona ....Hawaaminiki,Lkini hatujui kama mheshimiwa ataamua kuwajaza tena ktk uwaziri..or kwakuwa amepiga kazi mwenyewe ..basi hatajali kulipa fadhila...??
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Atamteu Waziri mkuu toka mkoa wa Mbeya kurudisha imani ya CCM kwa wana Mbeya
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  JK atajaza mafisadi wenzie lakini vijana atawapooza na Unaibu kibao....tegemea baraza la mawaziri nene kama hili la sasa.......lengo ni kufurahisha walaji wa mali za umma ili wasimnyanyapae....................
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Bora liende, hayuko serious kiasi hicho hivyo hategemei Baraza la Mawaziri serious. Matokeo yake wataning'inizwa Bungeni mpaka macho yawatoke kama panya aliyekamwatwa na mtego.

   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  kWANI jk ATASHINDA??
   
 6. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Hilo nalo
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Rostam Aziz naye atakuwepo
   
 8. S

  Soda Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete atashinda na baraza la mawaziri litakuwa nzuri sana
   
 9. M

  Mzalendo101 Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si ajabu akamrudisha Lowasa...Maana hana watu....
   
 10. C

  Challenger M Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyo mzee wa visasi hana jipya watakuwa mabesti wake tu....
   
 11. C

  Challenger M Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tegemea lowasa kurudi maana kwenye kampeni alimnadi kuwa hakuna kama yeye, na kipenzi chetu mwakyembe usishangae akaachwaa
   
 12. R

  Renegade JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280
  ANAJISHINDISHA ILE MBAYA , NASIKILIZA MATOKEO YANATOLEWA NA TUME UTACHOKA, KIWETE ANASHINDA MPAKA ASILIMIA 70% slaa only 0.5-4%
   
 13. d

  dotto JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  spika - Lowasa, Akina mama - Salma kikwete, Vijana - Riziwani, fedha - Rostam, Waziri Mkuu- MAsha
   
 14. n

  nassoro88 Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 13, 2008
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh,
  Hii imekaa uzuri:
  Tamisemi Yusuf makamba, Ulinzi na usalama Kinana,
  Tuendeleze jamani
   
 15. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Waziri Mkuu hawezi teua mtu aliyekataliwa na wananchi
   
 16. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,451
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Usitegemee jipya kutoka kwa JK,mawaziri 60 na zaidi kulipa fadhira,muendelezo wa Ukoloni mamboboleo.
   
 17. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Baraza la mawaziri kama wakifanikiwa kuchakachua na wananchi kukubali basi litaundwa na Jakaya akisaidiwa na mkewe Salma na mwanae Ridhwani: ndio hasara ya kuifanya institution kama Presidency kuwa family business!! Watajaa vilaza wengi wanaovaa kininja!! I bet you Mwantumu Mahiza will be in!!
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Blaa Blaa tuu uyu JK
   
 19. senator

  senator JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Nategemea mtu kama Masha kuwa kupata nafasi ya Uwaziri ingawa amedondoka..atapata uteuzi wa rais...Pia mamvii nae huenda akapambana kwenye U spika..Pinda atarejea kwenye nafasi yake ya U -PM..ila baraza la mawaziri linaweza kuwa na watu wale wale wakina kawambwa..ngeleja..mkulo etc mabadiliko madogo yatakuwa kwa mawaziri waliodondoka..Batilda..Kamara etc
   
 20. d

  dkn Senior Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hata kama ataweka mafisadi wake kuwa Mawaziri wananchi wakae wakijua sheria zote zinapitishwa bungeni kwahiyo hiyo mikataba fake na ufisadi wao utakuwa limited na Kikwete hana interest au kitu chochote atakachojali kwani 2015 ni mwisho wake. CCM yenyewe inajua Kikwete hana interest na hii nchi kwani makosa makubwa ni kutowakubalia walioshinda kura za maoni kugombea, CCM imekuwa na makundi ambayo yanamwumiza kichwa hata mabest zake wa karibu wanamtosa.
  Kazi ni bungeni, na upinzani utahakikisha Katiba inafanyiwa marekebisho makubwa tena kuanzia kuteua majaji, kuteua tume za uchaguzi ziwe kwenye neutral ground kwani Rais pia ni mwanachama wa chama fulani kinachogombea kwanini ateue watu kama hao na nina uhakika 100% kiongozi yoyote wa upinzani akishinda issue ya katiba haitamsumbua kitu kwani anajua ameingia kwa nguvu za wananchi na katiba si tatizo ila kwa CCM especially JK hiyo inampa kiburi...
   
Loading...