Matoke ya mbali yameshapatikana na kutangazwa, ya ubungo wanamsubiri msimamizi kaenda kunywa chai tangu asubuhi!.
Wafuasi wa Chadema wameizingira ofisi ya msimamizi.
Inasikitisha majimbo ya mjini kama Dar matokeo wanasema wameshindwa kutangaza kwa sababu ya tekonolojia.
Pale eneo la kutangazia matokeo Loyola, eti watendaji wa NEC wameenda kunywa chai. uwiiiii..wananchi waliopiga kura wanasubiri kupatiwa matokeo. Tume imekuwa na kigugumizi kizito hata kule Kagera na Lindi ambapo eneo la kijiografia lipo shwari. ...Hii ndio CCM, haipo tayari kwa mabadiliko hata yale ambayo yanaonekana wazi.
Mkuu Pasco, naangalia tbc1 lakini wakati mtangazaji anajaribu kumuuliza msimamizi msaidizi-Ubungo kujibu hoja ya Mh. Mnyika kuchelewesha matokeo lakini ghafla wakaondoa kabla hajajibu swali hilo na kuonyesha mambo mengine.
MyTake:
Nina wasisima na Credibility ya TBC1 kwa maslahi ya TZ
Ha ha ha ha huko kwa kijana wangu Mnyika hata walale wakichakachua hawataweza, huyo Hawa katupwa mno mbali. Hata huko Arusha sijui wanasubiri EDO afanye kitu gani wakati Batilda katupwa mbali. Hivi huko Arusha kwa nini msipasue hilo gari la EDO. Yuko hapa sasa hivi wanajadili. Kwa hilo ni jimbo kake? Kafuata nini huko mapema hii. Fisadi mkubwa wewe.
Unajua nina rafiki yangu mkenya kila tukikutana ananizodoa ohoo mitanzania ni mijinga sana mnaongozwa na chama kimoja leo nimemtwangia simu nikamweleza hali ya mambo akabaki na mshangao.
Mkuu Pasco, naangalia tbc1 lakini wakati mtangazaji anajaribu kumuuliza msimamizi msaidizi-Ubungo kujibu hoja ya Mh. Mnyika kuchelewesha matokeo lakini ghafla wakaondoa kabla hajajibu swali hilo na kuonyesha mambo mengine.
MyTake:
Nina wasisima na Credibility ya TBC1 kwa maslahi ya TZ
Inasikitisha majimbo ya mjini kama Dar matokeo wanasema wameshindwa kutangaza kwa sababu ya tekonolojia.
Pale eneo la kutangazia matokeo Loyola, eti watendaji wa NEC wameenda kunywa chai. uwiiiii..wananchi waliopiga kura wanasubiri kupatiwa matokeo. Tume imekuwa na kigugumizi kizito hata kule Kagera na Lindi ambapo eneo la kijiografia lipo shwari. ...Hii ndio CCM, haipo tayari kwa mabadiliko hata yale ambayo yanaonekana wazi.
Mgombea J. Mnyika na wadau wa CHADEMA, wamepiga kambi kwenye shule ya Layola - ambapo wanasubiri matokeo ya jimbo la Ubungo yatangazwe.
Msemaji anasema... matokeo hayana budi kuwa uploaded kwenda kwenye Tume taifa kabla ya kutangazwa. Wanaomba uvumilivu.