YAFAHAMIKA: Kura za Dr. Slaa zinapunguzwa kwa amri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

YAFAHAMIKA: Kura za Dr. Slaa zinapunguzwa kwa amri

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Baija Bolobi, Nov 2, 2010.

 1. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku wakishinikizwa na vijana "UWT" kuwa wapunguze kura hizo na kuwa ni agizo kutoka juu. Baadhi ya wasimamizi wametishiwa hata kuhamishwa baada ya uchaguzi au kushushwa vyeo.

  UWT wanatumia mwanya wa wagombea ubunge kuwa bize na kura zao zisiibiwe huku wakiziacha za Dr. Slaa bila ulinzi. Lengo la kupunguza kura za Dr. Slaa ni ili kutimiza ndoto za JK kushinda kwa zaidi ya 80%.

  Habari ndiyo hiyo.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  basi ni wapumbavu
   
 3. R

  Renegade JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,765
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  Hawa watu wamelewa madaraka mpaka wanawapuuza wananchi.Inasikitisha sana.:A S angry:
   
 4. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Washenzi hao UWT, nadhani UVT!
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Hawatatawala
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  waache wafanye hivyo nguvu ya umma itawafuta huko huko
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mwanzo wa machafuko, habari ndo hiyo
   
 8. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160

  kwa kuwa upigaji kura ulikuwa wa amani na utulivu hadi hatua ya kuhesabu kura na mawakala kuweka sahihi zao, chadema inatakiwa kuwa na kikosi maalum cha kujumlisha kura za dr slaa kila jimbo na kutuma matokeo makao makuu ambapo dr slaa atatangaza kwa mujibu wa fomu za matokeo amepata kura ngapi ili tujue hata kama wametuchakachua
  .
   
 9. rugumye

  rugumye JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hatari jamani, hili li serikali linakera kweli
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mbayuwayu inabidi aibe kura baada ya kuzikana
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mkwere anajua hapendeki lkn hataki kupata fedheha mungu atamuadhibu we mwache tu.
   
 12. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kabisa naweza kukubaliana na taarifa hii, jamaa anataka aonekane anapendwa ajidanganye yeye na wenzie!! si utani tatizo ninaloliona mimi kuna majimbo CHADEMA haikuweka wagombea, sasa kuna uwezekano mkubwa hata mawakala huko hakuna wa kuweza kuleta matokeo ya vituo. Kwa hilo basi kwa wale ambao majimbo matokeo tayari nashauri hata wawaombe mawakala wa vyama vingine ili kujua matokeo ya vituoni na kuweza kujumlisha ili kuona kama tume yao itatangaza tofauti.
   
 13. K

  Kifoi JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: May 12, 2007
  Messages: 836
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  brother hakuna cha slaa wala slow ccm itatawala nchi hii mpaka kiyama mpaka pale waTZ watakapo amka kwenye usingizi mzito
   
 14. E

  Epifania Senior Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hii mijitu ni mijizi kama nini, wanaudhi mnooo. Nilianza kuwa na wasiwasi siku ya uchaguzi baada ya kukosa fomu za kujaza matokeo ya Raisi. Hawana maana. It means zile fomu walizoficha ndizo watakazotumia kujaza hayo wanayotaka wao. I hate them:A S angry:
   
 15. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  :doh:
   
 16. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  U.w.t - umoja wa wachakachuaji tanzania
   
 17. n

  nakose Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyinyi wanajamii forum mnaojiita wasoma acheni kua wajinga...pumbafu nyie

  Mkishinda mnashangilia ila mkiona mnakaribia kushindwa ndio mnaanza kulalamika.
  Hivi usomi wenu uko wapi???pale kwenye ukweli simameni kwenye ukweli...acheni kulalamikia ujinga.

  Habari ndio hiiioooooooooooooooo
  CCM is so leadiiing....

  pumbaf wakubwa
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Watatawala lakini nafsi zao zitawasuta kwa kipindi chote kwa sababu watakuwa wanajua mioyoni kuwa watanzania wamewakataa
   
 19. I

  IMBOMBONGAFU Senior Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 7, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwongo wewe
   
 20. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetoka mitaa ya Ohio hapo shughuli usiku mbona wewe mchana hivi
   
Loading...