Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakato Majimboni: JJ. Myika, Ubungo Yako, Njia Nyeupe!.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pascal Mayalla, Aug 28, 2010.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,227
  Trophy Points: 280
  Nimeangalia live ya Kipindi cha Mchakato Majimboni kinarushwa live na TBC-1 na mpaka sasa kinaendelea, nimewasikiliza wagombea wote, kwa maoni yangu, ubunge wa Ubungo, njia ni safi na nyeupe kwa JJ Mnyika, Mama Hawa Ngumbi na CCM Kwish ney!, wamemuuliza swali provocative, na kweli akawa provoked, aka loose control na kutishia kupeleka watu mahakamani.

  CCM itakuwa na kazi kubwa ya kumsafisha huyu mama ndidi ya tuhuma alizotwikwa, na kama zina chembe ya ukweli, hilo ndilo jeneza rasmi la mgombea wa CCM.

  Pia naomba kuchukua nafasi hii kumpongeza Mtangazaji Shabani Kissu wa TBC-1.
  Tangu kile kipindi cha Kiti Moto Kilipokufa, leo ndio nimeona tena kipindi cha level ile.

  Big Up nyingine TBC-1, Big Up Shaabani Kissu!.
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,227
  Trophy Points: 280
  Mgombea wa CCM, Mama Hawa Ng'umbi azomewa, ahamaki, anyamaza!. Mwendeshaji wa Kipindi, Shabani Kissu, awatuliza wazomeaji, amsihi Mama Ng'umbi aombe kura, mama Ng'umbi aomba kura kwa unyonge!.

  Jimbo la Ubungo hiloo....Chadema!

  Unless CCM wafanye mambo .... kama Busanda na Biharamulo!.
   
 3. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #3
  Aug 28, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Kama kawaida ya mafisadi, Mama N'humbi alihamaki, na kudai athibitishiwe madai yale, la sivyo mahakamani!

  Baadaye akajutia kauli yake hiyo, kwani alipewa fursa ya kujibu swali, hakujibu. Kwa hiyo amewaacha wapiga kura na fikra kwamba, kwa kuwa amekwepa kujibu swali la kudaiwa kuuza nyumba, basi, kuna ukweli ndani yake.

  Katika wagombea wote kwenye mdahalo huo, Mnyika peke yake ndiye aliyejieleza kwa ufasaha. Wengine walisuasua tu!

  Nimempelekea silaha nyingine za kujieleza kwa ufasaha.

  HEHEHE!

  Mwaka huu, kiama cha CCM ndio kimewadia!

  Oktoba 31, 2010 ndio Siku ya Hukumu kwa CCM! WAONDOKE!

  -> Mwana wa Haki
   
 4. M

  Mundu JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Katika wagombea wote, Mnyika anatia matumaini kwakuwa amejibu kwa ufasaha na ameonyesha uelewa mkubwa wa matatizo ya jimbo hilo. Tatizo linabaki palepale kwa wapiga kura...Je watamchagua Mnyika kutokana na weledi wake ama watachagua vyama vyao? Jambo lingine ni, wale wakazi wa Ubungo ambao wameona Mnyika kuwa ni mtu sahihi kuwawakilisha katika jimbo lao, kutokana na maelezo yake na uadilifu wake,na labda utendaji wake JE, wamejiandikisha kupiga kura?
   
 5. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #5
  Aug 28, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Safari hii hatutakubali wachakacheu kura zetu.
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yalikuwa Maswali Gani? Tutapat wapi kuyasoma?
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,227
  Trophy Points: 280
  Aliulizwa matatizo ya nyumba na ardhi Ubungo ni matatizo makubwa, haswa zilizokuwa nyumba za NHC pale Urafiki, na yeye akiwa UWT Kinondoni, aliwahi kutuhumiwa kwa ufisadi wa kuuza nyumba ya UWT, jee akichaguliwasi ndio itakuwa balaa kabisa?.

  Mama akaamka na jazba kibao, 'thibitisha vinginevyo nakupeleka mahakamani'
  Mwendesha kipindi 'naombeni tuwe waangalifu sana na kuleta tuhuma, lazima ziambatane na uthibitisho'
  Kwa vile hizi ni tuhuma tuu, sio lazima uzijibu, tunaendelea...'
  Muuliza swali ambae ni ka binti kama cha Uswazi fulani kutokana na matamshi yake, akaendelea, 'kwani mahakama zimewekwa za nini?!, si zimewekewa watu, mahakamani tutakwenda na ushahidi tunao, lakini kwa hapo, jibu swali usitake kutuzeveza!.
  Ndipo kwa unyonge huku amenyea akajibu 'sio kweli, sijauza nyumba yoyote!'
   
 8. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2010
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli.

  Basi utashangaa waTz wenzangu, watapigia kura chama na sio mtu makini.
   
 9. N

  Nyamizi JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2010
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 1,401
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Pasco,hili jibu litabaki kwenye kumbukumbu zangu,ka binti kanaonekana kapo safi kichwani,hawa ndio wapiga kura wanaotakiwa,maswali magumu unaulizwa unabaki kutishia mahakamani.
   
 10. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mama H ngu ... wakati wote amekuwa anamezwa na hamasa zake na huwa zinampeleka kubaya.... sio sifa ya kiongozi mzuri!!!
   
 11. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,443
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Tutaona na kusikia mengi ya kujaza vikapu,siku njema huonekana asubuhi.
   
Loading...