Maskini Mbatia, aunga mkono tafiti za REDET na SYNOVATE! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini Mbatia, aunga mkono tafiti za REDET na SYNOVATE!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mfamaji, Oct 16, 2010.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa kaishiwa namna hii? Nimeona kipindi TBC sikuwahi kukiona nikashangaa jamaa nanvyoongea upupu kama Mrema. Duh
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaa kafanyaje tena....
   
 3. u

  urasa JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwenzako niliamua kubadilisha station ili kujiepushilia mbali na upupu wake,
   
 4. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Any body around to see James Mbatia on TBC? Nimeamini kweli kuwa huyu jamaa ni Kibaraka wa RA na Sisiem yake. Zile taarifa kuwa anafadhiliwa na Rostam ni za kweli mpaka amediriki kusema kuwa si NCCR au chama kingine chochote kitakacho shinda CCM kwenye uchaguzi huu!

  Kweli huyu jamaa hana akili tena maana anasema anacho ambiwa. mwangalie kwenyeTBC sasa
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwa wanasema ana-inclination fulani fulani
   
 6. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  eti anasema helkopta nzinawatisha wananchi!!!
   
 7. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  amewashambulia viongozi wa zamani wa NCCR waliohamia vyama vingine
   
 8. u

  urasa JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ansema elimu na afya bure haviwezekani
   
 9. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tdo Mhando anamtega halafu anaingia kichwa kichwa! eti wapinzani wanatumia Ufisadi kama uwanja wa kupigia kelele. Huyu anamtetea bwana yake Rostam!!! Analipia gharama zile walizompeleka ulaya kusoma' Huyu bwana ni **** kweli kweli
   
 10. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi naona kichefu chefu siwezi endelea kuangalia!! wengine angalia kama mna roho ngumu
   
 11. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja niangalie mpaka mwisho, ila mbatia niliyemheshimu sio huyu, he completely out of control. Hana kitu wanajaribu kumpandisha profile ashinde kawe, sijui kama watu wa kawe wanahitaji mtu kama huyu ambaye angefaa aende kanisani, hajui kama anategwa kabisa ni kilaza kabisa
   
 12. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kweli eeeh? Pls ni PM unipe hint!! (Naogopa B:glasses-nerdy:AN hapa)
   
 13. u

  urasa JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ana-support utafiti wa synovate na redet
   
 14. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nadhani NCCR sio chama cha kisiasa bali ni NGO, jamaa kaishiwa sera na alisahau kusoma alama za nyakati kwamba MREMA,,

  poor mbatia rudi kijijini kwenu au tafuta kazi nyingine ya kufanya
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  jana nilikua namsikiliza pale kwa nyerere, akaweka kanda ya nyerere for some time, sikumwelewa na bahati mbaya alikua na watu wachache sana, inawezekana uchache wa watu ulimchanganya
   
 16. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  The guy is going down, let him be like Mrema and we will see where to rest him once gone.. even if he will go back to Vunjo no body even his own clan so the guy is deadly gone..

  Those who pay him for this will pay their dues in due time...
   
 17. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Huwezi amini mtu huyu eti kiongozi wa opposition party hajui maana ya ufisadi tunaozungumzia kila siku. epa, richmund, deep green sijui what? Hata mama yake mzee anayajua haya. Shameful
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  dah... kuna jamaa wa pale tegeta walivyokua wanampigia debe, nadhani wataacha sasa
   
 19. M

  Mikomangwa Senior Member

  #19
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbatia njaa inamsumbua! Hakuna tofauti na Mrema. Wanadhani kuwa JK akishinda atawakumbuka. Tunamshauri asijiite opposition leader bali arudishe kadi arudi ccm kama wenzake waliowahi kufanya hivyo. Nahisi pia kwamba anawivu sana hapendi kuona vyama vingine vya upinzani vinafanya vizuri wakati cha kwake kinakata roho. His philosophy is: If you can't fight your enemy join him. RUDI CCM KAKA usione aibu.
   
 20. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Namshauri James Mbatia amfuate "mentor" wake ktk siasa za Mageuzi, yaani Mabere Nyaucho Marando: Ajiunge na Chadema.

  Kama haiwezekani kabla ya tarehe 31 Oktoba 2010, basi afanye hivyo baada ya Uchaguzi Mkuu. NCCR-Mageuzi haina jipya: Kwa sera na misimamo, wao ni Chadema tu, ila labda wafuasi wa Chadema na viongozi wake hawatokei Usalama wa Taifa.
   
Loading...