Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba msaada: Idara ya ardhi ina mamlaka kisheria kuingia kwenye ardhi ya mtu ambayo haijapimwa (unsurveyed) na kupima barabara au kitu chochote bila ridha ya mwenye ardhi?
Master plan ya mji...
Kuna mtu yeyote anayekatwa na hili shilika NIC(NATIONAL INSURANCE COOPERATION)?. Ni sheria IPI inatumika na mashilika HAYA ya bima kumkata mteja ambaye hajasajiliwa/hajajisajili kwa hilo shilika...
KESI ZA KUMTUKANA RAIS ZINAONGEZEKA,
KUNA NJIA RAHISI YA KUMALIZA TATIZO :
Jana nimesoma tena kwamba kuna mwanamke Mbeya amefikishwa mahakamani na kunyimwa dhamana - kosa ni kumtukana Rais...
Siku za leo umezuka mtindo wa watu hasa vijanana kutumia mafumbo kuusema, kuukosea au hata kutumia maneno ya kuudhi dhidi ya mhimili ule wenye mizizi mirefu. Hawautaji moja kwa moja ila ukisoma...
Mzee Kabunga , wewe umezeeka sasa, na wewe mi muumini mzuri tu! Lakini kwa hiki kitendo cha kuendelea kuratibu mipango yako mibovu ili watu wasio na hatia waendelee kuumia hata Mungu unayemwabudu...
Habarin Wakuu,Naomba kwanza kulaani dhidi ya baaadh ya jamii ya watanzania ambao tumezidi kua na tabia ya kuchukua sheria mikononi na kuua watu tukiwatuhumu kua ni majambazi,wezi,wagoni n.k...
Kesi za kikatiba huwa ni tofauti na za jinai au madai.Za katiba huwa hawatajwi watu wala hushtaki watu unaomba ufafanuzi wa maswala ya kikatiba tu.Ukishtaki mtu kwenye mahakama ya katiba hiyo kesi...
Wanachama wa JF,
Naomba kwa anaejua kuhusu hili jambo, kuna mmama yuko vicoba na Mwenyekiti wa hicho kikundi amekataa wasipige mahesabu, wala kuwapa vitabu vyao na wanataka ushauri wa kisheria...
Baba yetu amefariki miaka 2 ililiyopita. Kabla ya kifo chake mwaka 1998 alioa mke mwingine na akaishi nae katika nyumba alipokuwa unaishi mama na wadogo zangu.
Mama akalalamika baba na mke wake...
Naomba kufahamu kuhusu agizo la makamu wa raisi kutaka watumishi wa umma kufanya mazoezi kila jmosi inakuaje iwapo mi ni mtumishi na sitaki kufanya mazoezi hayo ya amri Na kwa muda huo wa...
Leo nimeshangaa kusoma mahala kuwa South Korea raia wake akivuta bangi hata akiwa nje ya nchi atahesabiwa kuwa na hata siku akirudi nchini humo kwa kosa alilolifanya nje ya mipaka ya nchi hiyo ...
Habari,
Kumekuwa na watumishi wengi walioshinda kesi dhidi ya serikali na serikali kuamuliwa kulipa fidia lakini serikali hailipi.
Je aliyeshinda na kukazia hukumu atafanyaje kutekeleza hukumu...
Nitafupisha hii hukumu na kuichambua siku zijazo.
UAMUZI HUU HAPA
http://www.judiciary.go.tz/wp-content/uploads/2016/09/CRIMINAL-APPEAL-NO.-358-OF-2013-ZOMBE0001.pdf
Kizungumkuti ni hiki...
Kiongozi wa serikali ananituhumu hadharani kwa kosa linalohitaji ushahidi wa kitaalam, ushahidi wa kosa hilo unachunguzwa na chombo cha serikali, na tuhuma zinathibitika kitaalam kutoka...
Sina uelewa wa sheria za kimataifa lakini utashi wangu unanipa kwamba vitendo tulivyofanyiwa na nchi hizi mbili wakati wa ukoloni sio haki kabisa.
Wamejitajirisha kwa mali zetu na nguvu za watu...
Sasa baada ya kukaa kutafakari nikapata washauri wakanielekeza WLAC msaada wa kisheria kwa akina mama. Nilipenda ofisi zao Dar makao makuu. Nikashauriwa nipeleke taarifa hizo ofisi zao wilaya...
Wanasheria naomba mnielimishe kuhusu suala la dhamana kupitia maswali yangu yafuatayo;
1. Mahakama inapoamuru kuwa moja ya sharti la dhamana ni kutoa hela, mfano sh. 20 mil.
-Hii hela...
. Kwanza kabsa mimi naitwa Noel nko mkoa mpya wa songwe wilaya ya momba mji wa tunduma. Nmeajiliwa na kampuni Fulani lililopo mbeya lakn nafanyia kazi katika tawi (....) Nmeifanyia kazi kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.