Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita kuna idadi ya kesi nyingi sana zimeanzishwa mahakamai nadhani kuliko kipindi chote since Independence,
kama sasa na hawa mashoga nao watakamatwa na...
Tarehe 11/01/2017 ndugu NDAHANI N. MWENDA alipoandika katika ukurasa wake wa facebook taarifa ya Mhe. PETER LIJUALIKALI mbunge wa KILOMBERO kufungwa jela miezi 6 bila kupewa alternative ya kulipa...
Hivi majuzi tumethibitishiwa kwamba Mh. Judge Donnely wa Mahakama Kuu ya USA hapo New York ameweza aliwasikiliza hoja za wanaharakati na kuamua kusimamisha kwa muda Amri ya Rais Donald J Trump...
Ufafanuzi hapo wakuu kama serikali haitakiwi kuingilia maamuzi ya mahakama mbona kuna msamaha wa rais kwa wafungwa..?
Kama mahakama ndio inayohukumu, kwanini rais apewe jukumu la kutoa msamaha...
Mtoto ameumia kwa ajali ya gari kwa kujigonga ubavuni gari imepaki. Bahati mbaya amekufa. Wazazi wanasema hatutaki kesi ni kosa la mtoto. Polisi wamekomaa wanataka wapeleke mahakamani. Je sheria...
*Tujikumbushe Sheria*
Khalid Shekoloa: ( ROAD SAFETY AMBASSADORS- TANGA )
*ABIRIA NI NANI?*
ABIRIA ni mtu yeyote anayesafiri kwenye chombo cha usafiri na inahusisha mtu yeyote mwenye tiketi...
Nina mdogo wangu aliazma pesa kwa jamaa mmoja maajabu muda wa kurudisha akaombwa riba, na makubaliano yao ni kuazma kawaida bila riba maana mtoa pesa hajasajiriwa na mamlaka husika na hatambiliki...
Wakuu, nilipewa offer ya employment na kampuni moja miaka mitatu iliyopita. Offer hiyo ilieleza kuwa baada ya mwaka nitasaini mkataba wa miaka miwili ambao unaweza kuhuhishwa (renewable)
Baada ya...
Usilitaje jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye meseji za utani au vichekesho ambavyo lengo lake ni kuchekesha tu, isipokuwa kwa taarifa ambazo una uhakika nazo na...
Wadau naomba kusaidiwa nimekua na mgogoro wa kazi na mwajiri wangu kuniachisha kazi baada ya kunihamisha kituo bila kufuata taratibu.
kwasasa tupo CMA mwajiri katika mgogoro wa kazi anasema kituo...
Mimi nilipatwa na mkasa wa kushambuliwa na mpiga DEBE siku ya tarehe 22/11/2016 majira ya SAA moja unusu usiku nilikua na mwenzangu tulitoka kumtembelea mwenzetu ambae alikua mgonjwa sasa wakati...
Nilikamatwa na nikashtakiwa kwa kosa la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.Na kesi imeenda mwisho wa siku nmekutwa sina hatia, lakini tayari nilikaa jela kwa wiki moja kama mahabusu.
Je...
Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi amezitaka Mahakama zetu kutoingiliwa na vyombo vingine badala take Zitende Haki bila kuonea. Mzee Mwinyi amesema hayo baada ya kuona Chombo...
Kuna binti nilizaa nae mwaka 2012 lakini nikiwa bado nasoma chuo mwaka wa kwanza BA, binti kwasababu alikuwa bado anaishi na walezi wake hakutaka kunitaja mapema, kwani alikuwa anajua hali yangu...
NAOMBA TAFSIRI YA HIYO SHERIA,
je mfanyakazi aliemaliza muda wa mkataba wake wa mwaka 1 na kuongezewa mkataba mpya wa mwaka 1, akafukuzwa kwa kosa lililotokea kwenye mkataba wa awali akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.