Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015)
To make a long story short,
Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na...
Judiciary and Stakeholders' Role in Strengthening the Integrated Criminal Justice System
Introduction
For over two decades, the judiciary has marked Law Day with significant implications...
Kuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school .
(Zamani iliitwa SAMENA...
Baada ya TLS kutoa tamko kuhusu Shangazi, na baada ya kuonekana jaji Feleshi alichukua maamuzi ili kumfurahisha "mfalme" ambaye ndiye mshitakiwa,sasa imejulikana wazi kwamba kanuni kuu ya sheria...
Habari wanajamvi? Natumaini mko salama.
Kama kichwa kisemavyo mwaka jana mwez kama wa 8 nilijiunga na kampuni ya uwekezaji sky investment baada ya kuona uzi huku na pia nikaridhika na njia zao...
habarini wana janvi! Mimi ni mhitimu katika shule frani hivi mwaka ulio pita sasa pale shuleni second master alikua na mambk ya ajabu sana kama vile kutengeneza uadui na wanafunzi kutunyang'anya...
Hello wana jamvi,
Nina suala naomba usaidizi, bwana mdogo anafanya biashara ya TIGO pesa, mwezi mmoja uliopita alipoteza pesa kiasi ki kubwa kwa kukosea kutuma MUAMALA ipasavyo kwa bahati nzuri...
Habarini waungwana!?
Natumai mu wazima na mnatambua historia ya nchi yetu tarehe kama ya leo ndio tulipata uhuru kutoka kwa waingereza.
Hivi hii inayosemekana kuwa ni bendera ya Tanganyika huku...
Kwa wale mliopo kwenye ulimwengu wa sheria, ebu tujuzane juu ya hili. Kwamba likizo ya uzazi imeongezwa toka siku 84 hadi miezi 6?
Kiambatanisho chajieleza.
Wanakijiji wa kijiji cha momela wamepigwa mabomu kwa kuweka pingamizi la TANAPA kuweka mpaka kwenye mashamba ya wanakijiji na kudai kuwa ni sehemu ya national park, na mgogoro huo umekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.