Naombeni msaada wenu wana JF. Kuhusu haki za msingi za mdaiwa

Noe kidumage

Member
Aug 25, 2016
84
25
. Kwanza kabsa mimi naitwa Noel nko mkoa mpya wa songwe wilaya ya momba mji wa tunduma. Nmeajiliwa na kampuni Fulani lililopo mbeya lakn nafanyia kazi katika tawi (....) Nmeifanyia kazi kampuni hilo kwa kipindi cha miaka 3. Lkn hvi karbuni nmejkuta kwenye wakati mgumu wa kuwa inaonekana nadaiwa kiasi kikubwa cha fedha ambacho sijakielewa. Kwa mujib wa report ya tawi letu la (...) tarehe 1 inaonekana Deni nililokuwa nadaiwa lilikuwa chini. Lakini SKU hyo hyo bosi alfika ofcn na kuniongezea Deni ambalo silielewi mpka sasa. Kiufup nahtaji kujua haki zangu za msingi kama ntatiwa hatian ntashukuru kwa msaaa wenu ni ishu siriaz hii
 
Back
Top Bottom