Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Mimi sio mtaalamu wa sheria lakini nimeona iko haja ya kuona uwezekano wa kuweka vizuri huu utaratibu/sheria kwamba mwanasheria wa serikali kuwa na jukumu la kuruhusu kupeleka kesi za jinai...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Tanganyika law society tunawavika huu WAJIBU wa kumshitaki Bashite. Mamlaka inaonekana kamwe hazitamwajibisha. Your credibility will be tested on this! Why discriminatory prosecutions! Why?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Ningependa kufahamu, Je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal officer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wenye initials na jina lake wakati huohuo ukionekana kama...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari ya mda huu Wana-JF! Napenda kutumia fursa hii kuomba kwa yeyote aliye na sheria ya Manunuzi ya Umma ya 2014 na kanuni zake za mwaka 2011 na 2013. Naitaji kusoma na kuelewa ili nifahamu...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu wanaJF, Hapa kazini kuna mfanyakazi ambae aliniomba mkopo na hhatukuandikishana. Nimejaribu kumdai lakini ameishia kutaka kunidhulumu maana kila tukionana ananikwepa. Naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika utatuzi wa Migogoro ya Ardhi, kuna vyombo mbalimbali vilivyoanzishwa kisheria kushughulikia utatuzi wa migogoro ya ardhi. Baraza la ardhi la kijiji Hili ni baraza la chini kabisa katika...
3 Reactions
2 Replies
7K Views
Waungwana, nadhani hukumu ya jana ya Court of Appeal kuhusu dhamana ya Lema ni muhimu katika mustakabali wa dhamana katika historia ya nchi yetu baada ya uhuru. Ni vizuri kama kuna mwenye hukumu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanasheria na wasomi hodi humu ndani, nibaomba msaada sana wa Katiba ya NGO inayohusu mambo ya Dini (missionaries) na Jamii (reaching the poor people and unreached ones) kwa lengo la...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Daud Mwangosi enzi za uhai wake. Na Francis Godwin, Iringa KESI ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten na Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ni mara nyingi sana nimesikia watu wakiwaambia wengine wafanye fujo na wasiogope kwani watawatoa hata wakikamatwa! Binafsi nafikiri hakuna wasaa muhimu kama huu kuzifanyia marekebisho Sheria...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kila siku Msada ambao unaitajika hapa ni kutaka kujua je mtuhumiwa ambaye anatuhumiwa kumpatia mimba mwanafunzi wa shule je anaweza kupewa dhamana Na kama anaweza kupewa...
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Naomba nianze kwa salamu ndugu wana JF. Ok niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo. Nimefanikiwa kutembelea kituo cha police maturubai hapo mbagala kipati. Niliyoyakuta humo ni ya kutoa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ukipatikana na hatia ya kughushi nyaraka ya serikali mahakani adhabu yake ni nini? Kosa la kughushi lina dhamana? Naomba majibu kwa wanaojua.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Mtaani huku ni soo watu 15% ndo habari ya mjini, lakini mimi nilitaka kidogo wanasheria mtusaidie inakuwaje. Mimi kama mteja nimesaini mkataba wa kulipa mkopo kwa 8% alafu baadae inakuja...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Hili linahusu sheria za kazi, chukulia mfano umeajiriwa katika Halmashauri au Wizara kwenye mkataba wako wa kazi unasema Mwajiri wako ni Mkurugenzi Mtendaji/Katibu Mkuu. Je ikatokea Rais wa...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Ndugu wana bodi, amani na iwe kwenu...... Nimetatizwa na jambo hapa naomba kusaidiwa kiushauri..... Nitasema bayana ili nieleweke wazi...... Mimi bana ni kijana(29yrs), kuna dada mmoja japo...
4 Reactions
105 Replies
8K Views
Kutokana na siku hizi utapeli kutamalaki kila mahali, na mara nyingi kwenye suala la ardhi, ningependa kujua na kufahamu ninaponunua kiwanja, shamba au nyumba ni taratibu gani napaswa kufuata ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mara nyingi huwa naona kama kuna traffic jam magari ya askari polisi, magereza na JWTZ (na hata yanye namba zinazoanza na a ST, SU) wakitanua lakini magari ya raia yakitanua yanakamatwa. Jana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie sheria ya matumizi ya ardhi; Ivi ukikabidhiwa ardhi kijijini na serikali ya kijiji. Inatakiwa uanze kuitumia baada ya mda gani? Na usipotumia kuna madhara gani ....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habr? Hivi kushushwa cheo ofisini pia hata mshahara unashuka? Naomba msaada pia ukiniwekea vifungu nitafurahi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom