mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,728
Leo nimeshangaa kusoma mahala kuwa South Korea raia wake akivuta bangi hata akiwa nje ya nchi atahesabiwa kuwa na hata siku akirudi nchini humo kwa kosa alilolifanya nje ya mipaka ya nchi hiyo .
Kwa upeo hafifu wa mambo ya kisheria niliomba msaada kujua
1:Na sisi tuna sheria kama hizi?
2:utampataje muharifu na kumuhukumu akiwa nje ya Tanzania?
Natanguliza shukurani
Kwa upeo hafifu wa mambo ya kisheria niliomba msaada kujua
1:Na sisi tuna sheria kama hizi?
2:utampataje muharifu na kumuhukumu akiwa nje ya Tanzania?
Natanguliza shukurani