Sifa za kuteuliwa kikatiba za Mwenyekiti wa parole

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Wanasheria wetu naomba kujua kikatiba Mwenyekiti wa Parole anatakiwa awe Na sifa zipi ili aweze kuteuliwa?
 
Mkuu sio kila MTU ana katiba kama huwezi kuchangia kaa kando wacha wachangiaji wenye busara wachangie
 
Mtihani mkubwa wa Raisi kwa Mrema... Maana mchezaji yupo Injury na sijawahi msikia msaidizi wake...
 
Back
Top Bottom