MWONA MBALI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 460
- 610
Kiongozi wa serikali ananituhumu hadharani kwa kosa linalohitaji ushahidi wa kitaalam, ushahidi wa kosa hilo unachunguzwa na chombo cha serikali, na tuhuma zinathibitika kitaalam kutoka serikalini.
Wana jamii hapa haki ya mtuhumiwa inapatikanaje ili chombo huru kichunguze? Je hapa hapaonekani kama ushahidi huu unaweza kuwa umepikwa? Ni mimi mwana Yanga naomba msaada.
Wana jamii hapa haki ya mtuhumiwa inapatikanaje ili chombo huru kichunguze? Je hapa hapaonekani kama ushahidi huu unaweza kuwa umepikwa? Ni mimi mwana Yanga naomba msaada.