Msaada kesi ya wa kisheria

abbas

Member
Apr 23, 2010
5
0
Sasa baada ya kukaa kutafakari nikapata washauri wakanielekeza WLAC msaada wa kisheria kwa akina mama. Nilipenda ofisi zao Dar makao makuu. Nikashauriwa nipeleke taarifa hizo ofisi zao wilaya muleba. Tukamuona mwanasheria akapewa vielelezo vya kesi kuanzia mwanzo. Akatuandikia barua kurudi mahakama ya mwanzo then wakadai turudi kwa hakimu mkazi wilaya ya muleba. Tukarudi ofisi za WLAC wilaya tukamueleza akasema atakwenda kumuona hakimu mkazi wa wilaya. Baada ya muda wa kutafuta akasema hakimu amekubali kusaidia hii kesi ingawa mwanzoni hakimu huyo alikataa ombi letu kutoka mahakama ya mwanzo ya kukazia hukumu. Tunaomba msaada wa kisheria maana kaka yetu ameanza kuuza maeneo hayo na pia ana pesa nyingi sana. Ukihitaji mawasiliano nami private nitakupatia. Asante sana
 
Back
Top Bottom