Sheria ipi inatumiwa na mashirika ya bima kumkata mtu ambaye hajajisajili?

Gafla

Member
Sep 12, 2012
43
16
Kuna mtu yeyote anayekatwa na hili shilika NIC(NATIONAL INSURANCE COOPERATION)?. Ni sheria IPI inatumika na mashilika HAYA ya bima kumkata mteja ambaye hajasajiliwa/hajajisajili kwa hilo shilika la bima? Nawasilisha
 
Back
Top Bottom