Msaada wa sheria ya ardhi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,239
Naomba msaada: Idara ya ardhi ina mamlaka kisheria kuingia kwenye ardhi ya mtu ambayo haijapimwa (unsurveyed) na kupima barabara au kitu chochote bila ridha ya mwenye ardhi?
Master plan ya mji huwa inapima barabara kwenye ardhi ya mtu bila FIDIA?
 
Utasaidiwa ngoja waje wataalam,mkuu
 
sante, Ninetafuta nikapata mwanga, section 151-156 of Kand act imenipa mwanga.
 
Hivi katiba inauzwa maeneo gani haswa nataka nifanye mpango wa kuinunua
Nenda government printer bookshop utapata... nadhani kwenye website ya serikali and other legal organizations ipo
 
Naomba msaada: Idara ya ardhi ina mamlaka kisheria kuingia kwenye ardhi ya mtu ambayo haijapimwa (unsurveyed) na kupima barabara au kitu chochote bila ridha ya mwenye ardhi?
Master plan ya mji huwa inapima barabara kwenye ardhi ya mtu bila FIDIA?
Wanapaswa wakutafutie sehemu nyingine wakupe kiwanja.
 
Back
Top Bottom