Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Uchaguzi wa Tanganyika law Society (TLS).
By; Noel C Shao.
Kampeni za nani anaenda kuwa rais wa TLS tarehe 17 pale jijini arusha, zimeanza huku kila upande ukijaribu kupinga upande wa pili hata...
Wanajukwaa,
Kwa maoni yangu ni kwamba sheria zilizopo kuhusu dawa za kulevya zinapoteza muelekeo wa mapambano dhidi ya dawa hizo.
Kitendo cha kuiweka mirungi na bangi katika level moja na Cocaine...
Habarini wanajamvi, naomba kwa wenye kujua hatua za kufata kumsaidia ndg yang moja.... ..
Ni kijana mkubwa sasa amemaliza chuo kikuu mwaka jana. Baba yake alifariki akamuacha akiwa na miaka minne...
Kitendo cha gavana Wa DZM kumpiga Mzee MAKAMO WA RAIS MSTAAFU amtafisri lije jambo
Je kuna kesi dhidi yake inayo endelea kwa kitendo au tukumbusha iliishia wapi
S.8-18 penal code kitendo hicho...
Napenda kufahamu yule Shikuba aliyekamatwa uwanja wa ndege na kisha kupelekwa Kilwa kwenye kesi yake ambae aliunganishwa na wenzie,Kesi yake inaendeleaje,Anaefahamu atujuze
Hivi ni kwanini kila Mtuhumiwa pindi awapo Mahakamani au hata Polisi akiachiwa tu huru hutoka nduki ( hukimbia mara moja ) kutoka eneo la Mahakama au Polisi huku wengine wakiwa radhi hata kukimbia...
Wakuu, nimebahatika kuipata nakala ya barua ya malalamiko ya vijana wanaojiandaa kuingia School of Law,tuidodose....
THE LAW SCHOOL OF TANZANIA
"FOR WHOSE BENEFIT"
A COMPREHENSIVE ANALYSIS...
Nimechaguliwa kujiunga na CL(Certificate in Law) chuo cha sheria Lushoto, mahitaji muhimu nayafahamu lakini nahitaji kujua ni aina gani ya sanduku linafaa kuhifadhi vitu vyangu kama...
Ndugu wanaJF ilitokea katika makuzi yangu nikampa binti mimba nilikuwa na mahusiano mazuri tuu na yeye na nilimgharamia sehemu fulani ya masomo ingawa kwa kiasi kidogo sababu sikuwa na pesa za...
Wataalamu wa maswala ya upelelezi na uchunguzi,practise ya kutaja hadharani majina ya watu wanaokupa au unaotaka wakupe taarifa za kiuchunguzi imewahi fanyika wapi katika huu ulimwengu?
Naomba...
Naomba muongozo watu wa sheria, Hivi bunge likimuazimia mh. Makonda linaweza kumfanyaje endapo litampata na hatia ya linalomshutumu?? Maana naona kama Mh. Makonda yupo mbali nao na kumuwajibisha...
Nimejaribu kufikilia sijapata jibu anaejua atusaidie jamani leo kwao kesho kwetu, mfano:-
Waliotuhumiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya lakini mda huo huo wamekamatwa, wengi wao bila...
Monday, 06 June 2011 21:03
Fidelis Butahe
JESHI la polisi nchini limewakamata watu wanane wakiwa na dawa za kulevya aina ya cocaine huku mmoja wa watuhumiwa hao, Mwanaidi Mfundo anayejulikana...
Jamani Kuna mtu nilifanya nae biashara ya kuumuuzia gari ndogo akatoa fedha nusu na makubaliano kumaliza iliyobaki baadae, but, MDA umepita zaid ya miezi kadhaa kinyume na makubliano na...
Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa.!
Nina dada yangu amekumbwa na tatizo ambalo linaweza kumpelekea akafungwa kama msaada wa kisheria hautapatikana haraka.
Nianze kwa kueleza historia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.