YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Kesi za kikatiba huwa ni tofauti na za jinai au madai.Za katiba huwa hawatajwi watu wala hushtaki watu unaomba ufafanuzi wa maswala ya kikatiba tu.Ukishtaki mtu kwenye mahakama ya katiba hiyo kesi umepeleka pasipo umeingia choo cha kike wakati wewe ni mwanaume.Hiyo kesi jaji lazima aitupilie mbali