Msaada wa kisheria kuhusu vicoba

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,361
824
Wanachama wa JF,

Naomba kwa anaejua kuhusu hili jambo, kuna mmama yuko vicoba na Mwenyekiti wa hicho kikundi amekataa wasipige mahesabu, wala kuwapa vitabu vyao na wanataka ushauri wa kisheria wafanyeje?
 
Back
Top Bottom