Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nilifungua kesi ya jinai juu ya raia mmoja wa kigeni toka mwaka jana. Kesi hii ilichelewa sana kufika mahakamani hii ni kutokana na raia huyu kuwa alitengeneza mazingira ya rushwa kwa OCS na OCD...
Wakuu,,napenda nijue taratibu za kukata rufaa ktk kesi ya jinai ambayo ilikuwa ktk mahakama ya wilaya,,process zipi zifuatwe baada ya kupata nakala ya hukumu? Na je uhakika wa mtuhumiwa...
Nina mdada na ni rafiki yangu sana nimejuana naye toka mwaka 2006
Wakati nafahamiana naye tayari ni mwathirika wa UKIMWI.
Tatizo la huyu rafiki yangu anabadilisha wanaume kila Siku
Kila...
Wakuu,
Hivi kuna sheria/utaratibu au mfumo wa Mahakama zetu kutoa nakala za hukumu mbalimbali kwa wananchi iwapo wataonyesha kuziitaji?
Kama ndiyo,kuna ada yeyote inayolipwa kwa karani ili...
Napenda tuwajue mawakili wasomi kuwahi kutokea Tanzania
1. Masumbuko Lamwai
Huyu bwana ni bonge la mwanasheria kuwahi kutokea. Aliwahi kumwambia Waziri mmama mmoja kuwa ni Malaya. Yule waziri...
Nimesikia Leo kuna taasisi moja itazindua taarifa rasmi ya unyanyasaji wa ngono na ulawiti
Na mama mmoja Umetoa ushuhuda kuwa mtoto wake mdogo alikuwa anatoa uchafu na kutembea vibaya akiwa ana...
Habari ya kwenu wandugu,
Nina shida moja na ningependa kujuzwa kuhusu sheria za kazi na siku za kupumzika kwa wiki, Je ni lazima kupumzika siku za kazi (jumatatu-ijumaa) au jumapili. Na je...
Haya yanayotendwa na Askari wa usalama wa barabarani , kukamata na kuhukumu na kisha kuwaandikia faini " wahalifu " wa makosa ya barabarani yana uhalali wowote ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba...
Hlw kwa wajuzi wa sheria
Naomba tupeane elimu kidogo katika hili suala ambalo serikali imetilia mkazo juu ya kufungia kinywaji cha Viroba.
Nimewahi kusoma juu ya yule bosi wa Ze utamu kuwa pamoja...
Ndugu zangu naomba msaada wa kisheria nina mtoto wangu kabadilishwa jina na kupewa la baba wa kufikia, nikiongea na mama yake anasema kwakuwa silipi ada ya mtoto (12yrs) na huyo bwana analipa ndo...
Wataalamu wa sheria naomba msaada, je ni halali kisheria nikalima bangi nchini kwa ajili ya kusafirisha nchi zilizo halalisha matumizi ya bangi?
Ikumbukwe kwamba nina uhakika 100% kwamba bangi...
Wataalamu wa sheria naomba mnisaidie
1. Kosa la identity theft.
2. Kosa la kunadanganya rais adhabu yake ni ipi?
3. Kosa na kufoji cheti adhabu yake ni ipi?
4. Kosa la kufoji passport adhabu...
Habari, Wakuu.
Naomba kujua kama ni jambo la kawaida Mwajiri kukushusha cheo, pasipo kumshirikisha mwajiriwa kwa barua, badala yake unakuta job title yako imebadilika ktk salary slip, japo kuwa...
Habari za humu ndani. Je, mimi kama raia wa Tanzania nina weza kumfungulia mashitaka ya watu fulani /mtu fulani mahakamani ikiwa nina uelewa kuwa fulani /watu fulani kuwa vyeti...
Kwa msaada wa kisheria tafadhari,nimesaini mkopo wa elimu ya juu kwa lipa ya asilimia 8 je nikikatwa zaidi ya hapo naweza kuwashitaki bodi ya mikopo ya elimu ya juu??
Je, sheria ya Makosa ya mtandaoni(Cybercrime Act) inasemaje kuhusu kutumia jina ambalo sio lako katika akaunti za Mitandaoni?
Je, kama inakataza vipi kuhusu sisi WanaJF tunaotumia majina ambayo...
Wandugu, kama kuna mtu mwenye copy ya hukumu ya mh. Godbless Lema hiyo wanayosema imetolewa Arusha kuhusiana na dhamana yake, ambayo wanasema mawakili wa serikali/dpp wameambiwa kuwa wanainajisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.