Ufafanuzi juu ya masharti ya dhamana

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
Wanasheria naomba mnielimishe kuhusu suala la dhamana kupitia maswali yangu yafuatayo;

1. Mahakama inapoamuru kuwa moja ya sharti la dhamana ni kutoa hela, mfano sh. 20 mil.

-Hii hela inapelekwa hard cash/cheque mahakamani na kuwa deposited kwenye account ya mahakama mpaka kesi itakapoamuliwa?

-Au inatolewa tu guarantee kuwa in case mshtakiwa hajatokea basi hiyo sh. Mil 20 itatolewa na muweka dhamana?

-Je mshtakiwa akitoroka au asipotokea mahakamani, anakamatwa aliyemuwekea dhamana ya mil 20 au pesa ndiyo itakayochukuliwa na kuwa forfeited?

-Je kama pesa itakuwa forfeited, ina maana hata kama dhamana ingekuwa ni hati ya nyumba, je nyumba ingeuzwa?

Naombeni wanasheria mnisaidie kujibu maswalu yangu hapo juu.
 
Back
Top Bottom