Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Siku za leo umezuka mtindo wa watu hasa vijanana kutumia mafumbo kuusema, kuukosea au hata kutumia maneno ya kuudhi dhidi ya mhimili ule wenye mizizi mirefu. Hawautaji moja kwa moja ila ukisoma maelezo ni wazi unatambua kuwa ni ule mhimili unasemwa. Mfano ni hiyo post hapo juu, pia hapa JF kuna posts nyingi tu kama za sizonje, kocha n.k
Naomba watalamu wa sheria mtusaidie maana naona kama kuna hatari mbele vijana wengi wamejisahau sana katika hili hadi wanapitiliza.
Naomba kuwasilisha