Ndugu wanajamvi Nina shemeji yangu anasoma pale institute of adult education masikini ya mungu tangia aanze chuo mkopo wake ulienda chuo kingine (transfer) nimemkuta leo kajilalia Analia...
Ndoto yangu ni kuwa mwlm ya vyuo vya diploma hasa hivi vyuo vya serikali vinavyotoa diploma ya ualimu.
Je ni walimu wenye sifa zipi wanaofundisha hiv vyuo vya diploma ya ualimu
Nifanyeje ili...
Heshima kwenu wanajamvi.
Naomba yeyote mwenye uelewa kuhusu Foundation Course ya OUT anisaidie maswali yafuatayo:
1. Je, mhitimu aliyefaulu anaweza kuapply University moja kwa moja kupata degree...
Habari za kwenu viongozi?
Naomba yeyote mwenye taarifa ulizwa hapo juu anisaidie plz.
Ningependa kujua tuition fees na direct costs.
Naomba kufahamishwa ikiwa mtu aliyekuwa admitted na NACTE...
Chuo Kikuu cha Mt. Joseph kimechukua vichwa vya habari hivi karibuni baada ya kutokea kwa migomo kwenye vyuo vishiriki vya chuo hicho na baadhi kufutiwa vibali vilivyoanzisha vyuo vikuu viwili...
Wakuu, naombeni ushauri wenu, Mimi nimesoma shahada ya kwanza ya Ununuzi na Ugavi, nikafanya Post graduate Diploma ya masuala ya Ununuzi na Ugavi, na pia nina cheti cha Bodi ya Wataalam wa Ununuzi...
habari wadau...nategemea mwaka huu kumaliza diploma ya clinical medicine..!!
je naweza kusomea degree ya medicine baada ya kumaliza?
je nahitaji sifa gani ili kusomea degree?
SHUKRANI
Wakuu naomba ushauri wenu
Je naweza kusoma kozi ya afya mbali na nursing kwa matokeo haya
Div 4 ya 26
Bios d
Chem d
Phys f
Math f
Kisw c
Geog d
Hist d
Engl d
Civ c
Koz kama.vile medical lab, lab...
Nilichaguliwa KAM COLLEGE ni ka comfirm ila nimeshindwa kujiunga sasa nimepata nafasi chuo kingine cha karibu sasa nataka kufahamu jinsi ya kuhama kupitia noas.
Mkuu wa chuo cha Eden Hills College -Mlandizi Kibaha, anatangaza nafasi za masomo ngazi ya Diploma na Certificate,kwa wahitimu wa kidato cha NNE,SITA,VETA au zaidi.Kozi zinazo tolewa ni pamoja na...
Chuo cha st joseph cha engineering & technology kilichopo mbezi luguruni ni mmoja chuo ambacho hakiko kwenye ubora wa kutoa mafunzo ya uhandisi. Why?
1. Chuo hakina qualified lectureres wa kutosha...
Nina ndugu yangu ambaye amepata matokeo yake ya kidato cha nne 2016,ambapo physics D,chemistry C,biology C,Mathematics F,kiswahili C,english C,geography C,history C and civics C.Nilikuwa naomba...
Ni mdogo wangu kahitimu kidato cha nne yaani form four, na matokeo yake kapata div. 27 IV. akiwa na F ya phys, Chem & maths. Chuo kipi na kozi zipi zaweza kumfaa. Tumsaidie bwana mdogo kwani...
Nataka kua apply chuo mtandaoni ila nashindwa kuingia nikimaliza kuja za hamna sehemu ya continue ya kuendelea labda msada wenu wa kuu nifanyaje na kwenyw
www.cas. go.tz najaza maswali yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.