simple N Member May 31, 2015 57 11 Mar 8, 2016 #2 Kuna stationary huku inaitaji watu kama nyie so kama upo tayari ni pm
God'sBeliever JF-Expert Member Sep 1, 2015 5,788 3,029 Mar 8, 2016 Thread starter #3 simple N said: Kuna stationary huku inaitaji watu kama nyie so kama upo tayari ni pm Click to expand... nashukuru mkuu ntakuchek
simple N said: Kuna stationary huku inaitaji watu kama nyie so kama upo tayari ni pm Click to expand... nashukuru mkuu ntakuchek
Einsten JF-Expert Member Mar 15, 2013 921 795 Mar 9, 2016 #4 nenda TTCL au company yoyote ya simu kwa huko mkoan Ila ungekuwa Dar ndio ungefurahia zaid
Einsten JF-Expert Member Mar 15, 2013 921 795 Mar 9, 2016 #5 kama unasoma bachelor au diploma usije ukaenda stationery huyo anakuzngua huko waachie wale wanaosoma short course ya computer maintenance
kama unasoma bachelor au diploma usije ukaenda stationery huyo anakuzngua huko waachie wale wanaosoma short course ya computer maintenance