Habari wakuu
Naombeni msaada nafanya application online hapa nimefika sehemu ya CHOOSE PROFESSIONAL AREA/FIELD OF STUDY
Sasa ninapochagua category ya Teacher Education ninapotia tia kwenye kile...
Mimi kama muhitimu wa chuo hiki na muhanga ninawaomba wana jf mtupe ushauri katika hili ambalo limetusibu. Sisi baada ya kuhitimu mwaka jana tuliambiwa tuandike majina yetu ili baadaye yapelekwe...
KWANINI walimu wa arts wasiitwe kuwa walimu wakuu shule za msingi ili kujenga msingi wa watoto kufaulu waingiapo sekondari,wapo walimu wengi wa arts private na wengine walibugi wakakataa ajira za...
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako.
MATOKEO ya Kidato cha Nne yametangazwa, shule zilizoaibika kwa matokeo mabaya ni za serikali zinazosomesha...
Wakuu katika harakati za kutumbua vijipu vidogo vidogo na kuongeza ufanisi naomba kujuzwa wepi naweza pata mafunzo ya typing mjini darisalama. Napendelea weekend au jioni. Nataka nifikie zile...
Habari wakuu,
Kwa wale waliosoma Masters (MA M&E) ya Open University, Naomba notes/Desa kwa mujibu wa syllabus yao ili nianze kujisomea mdogo mdogo kabla sija.join mwakani.
Unaweza nitumia kwa...
Asalam wakuu!
Nimemaliza chuo mwaka jana na nimesomea degree ya ualimu chuo kikuu cha UDOM tatizo langu ni kwamba nimeshikwa kozi moja ambayo natakiwa niirudie kuisoma semister ya pili pamoja na...
Habari wakuu, naomba msaada kwa yeyote mwenye maelezo sahihi kuhusu NAIROBI UNIVERSITY, mfano ada, mazingira ya chuo na jinsi ya kujiunga yaani application huwa zinafanyika muda gani na masomo...
Hivi kuna faida gani na hasara gani za kufanya mtihani kama private candidate(pc)kwa huu mfumo wa division kwa upande wa kidato cha sita naomba ufafanuzi jamani kwa mliofanyaga mtihani wa kidato...
Naomba tuelimishane na kusaidiana kuhusu vyuo vyetu vya ualimu kwa tunaoenda kuanza mwaka huu hasa kwa vyuo vya Korogwe (Tanga) na Kreluu (Iringa).
Mazingira na chuo kilivyo kwa ujumla katika...
Niliajiriwa na taasisi A na baada ya mwaka mmoja nikaletewa deni la laki moja na themanini (180,000/=) na penati ya elfu 9.
Kiukweli hili deni halikuwa sahihi maana mkopo halali ulikuwa zaidi ya...
Habari wanandugu mliohumu ndani?
Mimi nikija niliemaliza chuo SUA mwaka juzi na nimehitimu shahada ya wanyama pori, kazi zilitoka na sikuomba kwasababu moja nilikua na kazi nafanya na sikutaka...
Wana JF nawasalimu.
Kuna uzi mmoja uliwakuletwa humu siku za nyuma kidogo ukielezea matatizo sugu yanayokikumba chuo kikongwe cha UDSM, nyuzi kama hizo ziko nyingi mno humu JF. Na wengi wa...
Habari za mchana wana jamvi, Naombeni msaada kidogo.
Mimi nilirudia mtihani wangu wa kidato cha nne mwaka jana na kupata division IV 26, nina CREDIT 4 ktk masomo ya History Civics Kiswahil na...
SCHOLARSHIP KWA WATANZANIA
Jamani kwa wale wanaopenda kuongeza elimu kuna wajaribu hapa waone bahati zao ni nchi tofauti tofauti kama ilivyooneshwa kwa maelezo zaidi click link husika
CHINA...
Wasalam wapendwa;
Naomba kufahamishwa utaratibu wa kumwamisha Mwanafunzi wa Sekondary kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine.
NOTE;
Mwanafunzi ni wa Form One, Ameanza shule Mwezi huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.