Msaada kozi ya afya

Werema Chacha

Member
Jan 7, 2016
60
12
Wakuu naomba ushauri wenu
Je naweza kusoma kozi ya afya mbali na nursing kwa matokeo haya
Div 4 ya 26
Bios d
Chem d
Phys f
Math f
Kisw c
Geog d
Hist d
Engl d
Civ c
Koz kama.vile medical lab, lab tech,medical certificate na nyinginezo
 
Kwa medical lab certificate, waweza kupata coz sifa ni angalau D ya Biology na D Chemistry(kwa mujibu wa Guide book ya 2015/16)
 
Ndugu zangu kozi za afya cku hizi zimekuwa mgogoro maana una weza kuwa hizo d.za kutosha ila ukikoswa hesabu na English unatemwa maana ushindan ni mwingi
 
Ndugu zangu kozi za afya cku hizi zimekuwa mgogoro maana una weza kuwa hizo d.za kutosha ila ukikoswa hesabu na English unatemwa maana ushindan ni mwingi

kwa mujibu wa guide book ya nacte huwa wanaangalia D3 za phy chem bios, kama unachukua kozi za clinical medicine. english na b/maths ni ufaulu wa ziada hauna nguvu kwa hiyo kozi hapo niliyoitaja. kwa hiyo mtu akiomba clinical medicine.anaasilimia kubwa ya kupata, kama atakuwa anaufaulu wa D tatu na kuendelea.
kozi kama medical lab hii ndo huwa wanaangalia mpaka ufaulu wa somo la hesabu.unapaswa uwe na D ya hesabu.

me ndo nilivyoisoma na kuielewa guide book ya nacte 2015-2016
 
Bila kufaulu physics hakuna kozi ya afya utakayosoma zaidi ya community health ya mwaka mmoja
 
wanajamvi eti ukimaliza kusoma certificate unaenda kufanya kazi, ama ni lazima uunganishe diploma ndio ukafanye kazi ?
 
Wakuu naomba ushauri wenu
Je naweza kusoma kozi ya afya mbali na nursing kwa matokeo haya
Div 4 ya 26
Bios d
Chem d
Phys f
Math f
Kisw c
Geog d
Hist d
Engl d
Civ c
Koz kama.vile medical lab, lab tech,medical certificate na nyinginezo
Hakuna kozi yoyote ngazi ya cheti utapata kama umepata F phys otherwise njoo ufanye community health ya mwaka mmoja. Km upo good nicheck pm
 
kwa mujibu wa guide book ya nacte huwa wanaangalia D3 za phy chem bios, kama unachukua kozi za clinical medicine. english na b/maths ni ufaulu wa ziada hauna nguvu kwa hiyo kozi hapo niliyoitaja. kwa hiyo mtu akiomba clinical medicine.anaasilimia kubwa ya kupata, kama atakuwa anaufaulu wa D tatu na kuendelea.
kozi kama medical lab hii ndo huwa wanaangalia mpaka ufaulu wa somo la hesabu.unapaswa uwe na D ya hesabu.

me ndo nilivyoisoma na kuielewa guide book ya nacte 2015-2016
Kijana mim ninaye kwambai mwaka jana niliomba nikatemwa sabab competition ili kuwa kubwa sana.wakati mwingne wanaangalia vigezo hivyo
 
hivi ukimaliza certificate ya clinical medicine unaweza kwenda diploma?na kama unetokea certificate ya clinical MD. ya miaka miwili je diploma itakuchukua miaka mingapi
 
Back
Top Bottom