Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

A
Mimi ni mzazi na mhathirika wa haya yanayotokea, Shule ya Sekondari Longido iliyopo Wilaya ya Longido, Mkoa wa Arusha, shule ina Wanafunzi wengi sana kupita kiwango. Jumla ya Wanafunzi ni zaidi...
1 Reactions
4 Replies
154 Views
A
Anonymous
Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa 1. Mbali...
0 Reactions
6 Replies
692 Views
A
Anonymous
Shule nyingi mpya za serikali zinazoanzishwa na zile za vijijini hazifundishi masomo ya biashara hususan Commerce, Bookkeeping na Economics? . Mfano hivi karibuni serikali ilifungua shule mpya...
1 Reactions
7 Replies
837 Views
Profesa Esther William Dungumaro ni Mkuu (Principal) wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa (MUCE). Kwa namna anavyoendesha chuo hiki cha umma, inaleta mashaka juu ya uadilifu wa uongozi wake katika...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
A
Anonymous
Huu Mtaala mpya unaohusu Watoto kuishia Darasa la Sita hakuna vitabu hata kimoja mpaka leo tangu Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda alipotangaza juu ya mabadiliko hayo. Kila tukiuliza wanasema...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
A
Anonymous
Baadhi ya shule za sekondari wilaya Mbinga zimeanzisha hostel bubu ambazo hazifai kwa matumizi ya wanafunzi hususan wa kike hasa madarasa ya mitihani na hata zile shule zenye hostel za wasichana...
1 Reactions
13 Replies
674 Views
A
Anonymous
Chuo cha DMI (Dar es Salaam maritime institute) kuna changamoto wanafunzi tunapitia. Watu wanalipa ada na pesa ya usajili ambayo kwenye iyo pesa ya usajili wamechanganua kua kuna kupatiwa ID...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
A
Anonymous
Wakuu, Heri ya mwaka mpya 2024. Barua hii ni taarifa kuhusu ubora wa elimu inayotolewa katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kwa ufundishaji na utoaji wa masomo ya Shahada za elimu zenye...
16 Reactions
69 Replies
5K Views
A
Anonymous
Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
A
Anonymous
Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo...
0 Reactions
24 Replies
896 Views
A
Anonymous
Kuna jambo ambalo nimekutana nalo nikiwa likizo huku Mkoa wa Songwe, Wilaya ya Mbozi, kuna baadhi ya Shule za Msingi, Walimu wanamiliki mashamba na kuwafanyisha kazi Wanafunzi. Nimezungumza na...
3 Reactions
16 Replies
542 Views
Wenye mamlaka leo naomba kufikisha kero yangu kuhusu ubovu wa Mifumo ya Malipo ya Ada na Utoaji Matokeo ya Mitihani ambayo imekuwa na usumbufu kwa Wanafunzi kutokana na Matokeo kutowekwa kwenye...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
A
Anonymous
Kuna Mwalimu (jina linahifadhiwa) anayefundisha Shule ya Nanhyanga Sekondari iliyopo Tandahimba Mkoani Mtwara, anaweza kudhuriwa na jamii inayomzunguka kwa kuwa wanamtuhumu kwa mambo mbalimbali...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
A
Anonymous
Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
A
Anonymous
Mkurugenzi mtendaji wa Mbinga mji hali ya vyoo vya shule ya sekondari Ngwilizi ni mbaya sana. Imefika wakati wanafunzi walio wengi wanaenda kujisaidia vichakani. Hebu wasaidieni Hawa wanafunzi...
0 Reactions
6 Replies
923 Views
A
Anonymous
Kuna wanafunzi wa Chuo Cha SUA wanadai refund ya Hela zao za ada ila tangu semester iliyopita Mpaka Leo hawajapata Hela zao. Tunaomba mzungumzie hili swala wanafunzi wapate Hela zao. Hii refund...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
A
Anonymous
Wanafunzi wa UDOM college ya informatics wamekua na changamoto kadha wa kadha. 1. Ubovu wa miundombinu hasa choo kwa baadhi ya blocks(1 and 3) hali inayopelekea kushindwa kujisaidia na kupata...
1 Reactions
12 Replies
501 Views
A
Anonymous
Miaka ya nyuma tokea nchi ipate uhuru huu mwaka bajeti ya kutoa mikopo Kwa WANAFUNZI WA degree ilikuwa kubwa sana, ilikuwa TZS bilioni 700+. Serikali ikakatangaza WANAFUNZI wanaonza degree (fresh...
2 Reactions
3 Replies
497 Views
A
Anonymous
Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management. Mwaka jana...
1 Reactions
3 Replies
873 Views
A
Anonymous
Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka. Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom