Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

  • Redirect
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa zawadi ya afya njema kwa siku ya leo. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, Wadau wa twitter, kuna hili hapa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naomba kuuliza chuo kina dai ada 875000 ya semister 2 tena kwa nguvu hali ya kua vyuo vinefungwa n haijulikan vitafunguliwa lini na hiyo semister haijaanza halaf wanasema kua wanafunzi walipe...
1 Reactions
Replies
Views
Nilituma maombi kwa njia ya online kwa kozi ya Clinical medicine naomba mnipe njia mbadala za kufany I'll nipate chuo cha serikali Natanguliza shukrani kwenu
0 Reactions
21 Replies
5K Views
habarini humu ndani? ningependa kufahamu au kupewa maelezo kwa yeyote atayokuwa nayo, kuhusiana na akaunti za udom kutokufunguka na kuambiwa tumekosea passowrd ilihali password azjakosewa and pia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeomba chuo fulani lakini nilipoangalia tena taarifa zangu baada ya kufanya submission nikakuta kwamba nimekosea tarehe ya kuzaliwa(nimechanganya mwezi na tarehe). Lakini kwenye kipengere cha...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Mkurugenzi Wa TCU amedai kuwa asilimia 70 ya wahitim kidato cha sita kuna uwezekano mkubwa Wa kushindwa kupangiwa vyuo kutoka na taarifa zao kuwa kinyume na zile za maombi ya mkopo,haidha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wakuu naombeni mnisaidie tofauti kati ya chuo cha wanyamaa pori mweka na chuo cha wanyam pori pasiansi na kwanin mweka ada yao ni kubwa sna? Msaada wenu wakuu
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa aliesoma pcb anaweza kuapply engineering ipi DIT? Na BAM kafaulu vizuri
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wana jf ni matumain yangu kuwa wazima ningependa kuwakarbisha wote ambao mpo kwenye medicine na wanaotaka kuingia ili tujuzane
1 Reactions
3 Replies
516 Views
Jamani nisaidie chuo cha watu wanao fanya kazi bandari kinaitwaje
0 Reactions
1 Replies
478 Views
kuna ukweli wowote kwamba ikiwa umeomba tawi lolote la SAUT na ukapata wakati vyuo vingine navyo umepata SAUT wanakimbilia kuconfirm kabla yako?😢😢😢
0 Reactions
2 Replies
504 Views
SHULE GANI NZURI YA ADVANCE INAPATIKANA MWANZA AU ARUSHA NAOMBEN MNISAIDIE
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Mtu mwenye Masters ya Nursing for possible connection ya PhD. Nimeongea na Prof. already so that means mguu mmoja ndani tayari sababu PhD nyingi za USA connection ni muhimu na Prof akisema...
1 Reactions
0 Replies
962 Views
Naomba kuuliza kuhusu wanafunzi walio pangiwa kwenda vyuo kwa mwaka huu,nahisi wengi wao wamepangiwa kwenda kusoma course ambazo hawaja panga kusomea katika maisha yao wengine wanaweza wakawa na...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
  • Redirect
Mkuu yaani huwezi kuamini, kule NACTE ambapo viana wetuwanaomba nafasi za Masomo, kuna namba za simu zaidi ya 11 lakini hakuna anayepoke. Matokeo ya Kidayp cha sita yaliyotoka leo NACTE hawana na...
1 Reactions
Replies
Views
Jamani nimekosea kujaza mwaka was kuzaliwa nacte application naweza chaguliwa kujiunga chuo msaada kulingana na uzoefu wenu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
1264Mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nina malengo ya kusomea ACCOUNTANCY ila nimebaki njia panda kwa kutokuelewa wapi niende either chuo au advance maana nasikia advance...
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom