Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

A
Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE). Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo. College ya CIVE ina jumla ya...
2 Reactions
5 Replies
165 Views
A
Anonymous
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages. Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa...
0 Reactions
2 Replies
234 Views
A
Anonymous
Tupo kwenye sintofahamu, Chuo cha SAUT-MWANZA mpaka sasa hakijatupa Vyeti wahitimu wa Mwaka 2023. Ukienda kufuatilia wanasema tusubiri wakidai vyeti havijafika, wakati huohuo wengine wamepata...
3 Reactions
2 Replies
148 Views
A
Anonymous
Kuna kero kubwa tunaipata Wazazi dhidi ya Shule ya Msingi Nyabulugoya iliyopo Nyegezi Jijini Mwanza, tunaomba tupazie sauti ili wenye nafasi zao wapate ujumbe huu. Kila Jumamosi Wanafunzi...
2 Reactions
7 Replies
715 Views
A
Anonymous
VYOO Katika Shule ya Msingi Rubale iliyopo kijiji Businde Kata Businde Wilaya ya Kyerwa Mkoani kagera vimekataa na kujaa kitu kinachofanya wanafunzi kukusaidia vichakani wazazi wamechagishwa hela...
1 Reactions
2 Replies
112 Views
A
Anonymous
Shule ya sekondari BUJINGA iko Tukuyu mkoa wa Mbeya wazazi tumeambiwa tuanze kuchangia sh. 60000/= kwaajili ya kambi kidato cha nne.. Hii ililetwa kama agenda ktk kikao kilichoitishwa na walimu...
3 Reactions
37 Replies
893 Views
A
Anonymous
Sisi Wanafunzi wa St. John's University of Tanzania cha Dodoma tunakidai chuo hela ambazo tulilipa kabla hatujalipiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), tumeandika barua nyingi sana kuomba...
0 Reactions
5 Replies
528 Views
Hello habari za majukumu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa. Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
3 Reactions
21 Replies
687 Views
A
Anonymous
Kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya utitiri wa adhabu za viboko shuleni. Watoto wanaogopa kwenda shuleni kisa adhabu za viboko ni kali na pia namna ya utoaji wa adhabu hiyo umepelekea wanafunzi...
2 Reactions
6 Replies
241 Views
A
Anonymous
Chuo Kikuu cha Iringa kina ubabaishaji, hawajali afya za Wateja wao (Wanafunzi) haiwezekani mwanafunzi kafanya usajili kuanzia Novemba mpaka Desemba, lakini bima yake haijawa activated. Mnufaika...
0 Reactions
3 Replies
648 Views
A
Anonymous
Sisi wanufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) tuliomaliza deni na bodi tunaonewa na HESLB kwenye kipengele cha kuingia kwenye mfumo wa Account ya loan board ili kuweza kuona tathimini ya...
1 Reactions
15 Replies
825 Views
A
Anonymous
Kumekuwa na changamoto ya mazingira ya chakula hasa katika hizi Shule za Serikali zinazowaweka Wanafunzi bwenini. Mara kadhaa Wanafunzi wamekuwa wakilalamikia uhaba wa chakula lakini suala hili...
1 Reactions
5 Replies
561 Views
A
Anonymous
Tunaomba Mtufikishie malalamiko haya Ngazi za Juu Habari wahusika wa Mtandao wangu pendwa wa Jamii Forums, Kuna shida Mwanza katika Chuo kikuu cha SAUT ambacho ni takribani miezi minne sasa...
2 Reactions
23 Replies
599 Views
A
Anonymous
Chuo cha uhasibu Arusha (IAA) kimekuwa na gharama kubwa ya malipo ya Ada kulinganisha na vyuo vingine vya serikali pia mlipaji hapewe mchanganuo wa malipo hayo ya Ada. Kiasi kilicho pelekea...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
A
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Tabora, kuna hoja naomba nishee na Wana JF, ipo hivi, Watoto ambao wanasoma Shule ya Sekondari Sikanda kama akichelewa kuripoi hata kama ni siku moja tu, mzazi wake anatakiwa...
2 Reactions
4 Replies
274 Views
A
Anonymous
Kuna Chuo kinaitwa Blue Pharmacy College of Health kipo Singida Mjini mbele ya Serengeti Pub kina hosteli za Wadada zipo opposite na Cheyo Lodge. Concern yangu ni hizo hosteli zipo kwenye danguro...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
A
Anonymous
Habari, Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha dodoma (UDOM) ndaki ya kompyuta na elimu angavu (CIVE). Hapa ndaki kwetu (College) kuna tatizo la maji sasa kufikia wiki ya pili maji hayajatoka tatizo...
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Back
Top Bottom