OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,820
- 117,375
Nimezama web ya NACTE naona haifunguki, mwenye nayo please naomba atupie attachment hapa,Asanteni kwa kuja na kutoa msaada
Shikamooowashenzi sana! hawajaweka guide book
Shikamooo
Naomba kuuliza swaliteh! shika yako yangu inatelezaa
Ww ni mwalimu wa primary??Mmmmh! kwani mie mtumishi NACTE?
Post za ajura zenu bado auHapana ni mwalimu wa maisha
Iteleze tenaaaateh! shika yako yangu inatelezaa
Mkuu tusaidie na sisi tujue hivyo vigezo,maana kila nikijaribu kufungua inagoma sijui tatizo ni nini,kuna dogo ana div.4 points 27 vipi anaweza kuomba certificate ya primary education?Wameweka lkn ni ya mwaka jana