Toofast
JF-Expert Member
- Dec 23, 2015
- 522
- 942
Nina ndugu yangu ambaye amepata matokeo yake ya kidato cha nne 2016,ambapo physics D,chemistry C,biology C,Mathematics F,kiswahili C,english C,geography C,history C and civics C.Nilikuwa naomba msaada wa kujua mchepuo wa sayansi ambao anaweza kwenda A level kwa shule za serikali hususani pcb