TANGAZO MUHIMU KUTOKA NACTE: WAJULISHE WOTE
TANGAZO MUHIMU TOKA NACTE: KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA PAMOJA WA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
(NACTE)...
Jmn mie nimuaniriwa tyr na ni bachelor holder yq animal science toka SUA lkn najiona bado safar ninayo nataka ni apply diploma ya afya, kwahy nawaomba ushaur juu ya faida na hasra pindi...
Najua wanafunzi wa TRANSFER BADO wengi mna hussle vya kutosha ..ni baada ya kuvumilia zaidi ya MIEZI MINNE ambayo academically tunaita SEMISTER moja ..poleni sana na pole pia kwa waliosaini BATCH...
Barua ya wazi kwa mheshimiwa waziri wa elimu, sayansi, teknolojia na ufundi
YAH: HALI YA HATARI INAYOWAKABILI WANAFUNZI WATANZANIA WA
SHAHADA YA UZAMILI NCHINI ALGERIA
Tafadhali rejea kichwa...
Hello!
Ningumu sana kuelewa na kuamini kwangu hivi vitu, ni kama mara ya tano au sita najiribu post tatizo na bodi ya mikopo mwaka huu hapa jamvini. Nimefanya mambo yote kama walivyo agiza lakin...
HII NDO LIST YA VYUO 17 VINAVYOONGOZA KWA KUTOA ELEMU BORA BONGO, JE CHUO CHAKO KIPO?
Note: Huu ni mpangilio binafsi na si pendekezo la JF.
CHEKI HAPA
1 University of Dar es Salaam .
2 Sokoine...
KUNA MDOGO WANGU ANASOMA SEKONDARY YA SERIKALI NNATAKA KUMUHAMISHIA PRIVATE SCHOOL MSAADA KWA ANAEJUA SHULE NZURI ZA BOARDING NA ADA ZAKE NNATAKA MPAKA MWEZI WA SITA AWE AMESHAHAMA...
Habari zenu wadau?
Naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa juu ya hili; mdogo wangu ame score C-3,D-3 na F-1 ila katika hizo C moja ni ya literature.
Je, anaweza pokelewa Advance kwa shule za private?
Habari za majukumu wadau wa elimu.Nasikia eti vyuo vya ualimu wa shule ya msingi vinatoa foundatio course ya mwka mmoja kwa wanafunzi wa kidato cha nne wenye dvn 4 ya pass 4 na kuendelea ambao...
Nina dada yangu ameresit mtihani wa kidato cha nne mwaka jana. Amepata DIVISION IV 26 akiwa na C mbili, D tano na F moja. Anahitaji kusoma UWALIMU wa primary. Je, anaweza akajiunga chuo cha...
Mimi ni mwalimu katika shule moja morogoro wilaya ya mvomero,
Nilifungiwa mshahara wangu tangu mwezi wa tisa.
Kosa langu lilikua ni kutofika kazini kwa siku 20, lakini walinisamehe kwa kunionya na...
Chuo cha st. Joseph (hasa kampasi za Songea na Arusha) kimekua kikikabiliwa na tatizo la migomo ya wanafunzi kwa muda mrefu sana, na baadhi ya madai ya wanafunzi ni haya;
•Chuo kutokua na...
Habar ndugu zangu!!
Najua kuna wengi wenye ufahamu wa mambo mbali mbali. Vile vile tunatofautiana ktk kuelewa mambo.
Naomba kuuliza yafuatayo juu ya postgraduate ya education.
1. Je inaweza kuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.