Advanced diploma ya IT/ICT

Wakuu, nina Diploma ya Electronics Engineering..
Nahitaji kusoma Advanced diploma ya IT au ICT, hivi kwa hapa nyumbani chuo gani kinaweza kunipokea nikasoma Advanced diploma ya mwaka mmoja ?

Kaulize chuo cha IIT kipo makutano ya Lindi/Kawawa au kaulize CATS pale makutano ya Sokoine/Ohio, bila kusahau DIT pale makutano ya Bibi Titi / Morogoro.
 
Msaada, Mimi Nilirisit Masomo Manne Kutokana na Uwezo Wangu kwa Kipindi hicho English D kiswahili C Civics E Geograph F , Ukizingatia nilipatapata Uzoefu Wa Computer Maintainance And Repair Mtaani tu na nipo Vizur Sana Katika Utengenezaji Wa Pc's, IT Imenikaa Sana Akilini Mwangu.Je ninawezaje kutimiza Ndoto Zangu Kwa Kusomea Hii IT Kwa Alama Zangu Nilizozipata Form 4 Kama Risiter.
 
ndio unaweza, minimum qualification huwa ni D 3.
 
Back
Top Bottom