Ndoto yangu ni kuwa mwlm ya vyuo vya diploma hasa hivi vyuo vya serikali vinavyotoa diploma ya ualimu.
Je ni walimu wenye sifa zipi wanaofundisha hiv vyuo vya diploma ya ualimu
Nifanyeje ili nipate nafasi ya kufundisha vyuo hiv vya diploma?
Kwasasa nipo mwaka wapili chuo flan hv nasoma "bachelor of education special needs " - Teaching subject yangu ni MATHEMATICS pia nime specialize kwenye HEARING IMPAIRMENT.