Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Walimu jitambueni na hiki chama chenu cha walimu Tanzania.jiulizeni kimewanufaisha nini? Na je wale walio staafu umewaona wamefaidika nini na uanachama wao? Michango ya uanachama kila mwezi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mwenye uzoefu kidogo katika mambo hayo naomba anisaidie. Kozi ipi ni nzuri kusoma Mzumbe Universitykati ya Msc Accounting & Finance na MBA Corporate Management kwa mtu ambaye tayari ana ACCA au...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu,mwenye uelewa juu ya hili anisaidie;mwalimu anaehamishwa ndani ya wilaya anayofanyia kazi toka kituo kimoja kwenda kingine,au kutoka kata moja kwenda kata nyingine ndani ya wilaya hiyo hiyo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini please kama Unasoma nchini south Afrika Naomba uni PM au Comment hapa Mimi nitakupm Nina shida sana! Na kama una ndugu au Rafiki anaye Soma south Afrika Naomba uni PM nina shida sana...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Hivi kama umesomea comb ya HGL usipo somea course ya uticha unaweza somea course gani tena ambayo ipo poah ki ajira??
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Wadau wa Jf naomba kujua chuo gani kinafundisha IT vizuri na ukimaliza ajira hazisumbui kiwe private au government. Ahsanteni khalfanshaban@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
787 Views
Naombeni mnisaidie shule gani ambazo ziko arusha za A-level private
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Zimepatikana d mbili tu form four VP naweza kwenda kuendelea kusoma kozi nyingine yoyote ile achilia mbali na kutafuta izo credit
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Find a number of scholarships advertised at : Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training Scholarships Announcement : Open Discussion Forums
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jambo ambalo limeanza kujitikeza kwa vijana wanaomaliza form 4 na kukacha na kwenda kujiunga na vyuo na kusoma Diploma. Ni mtazamo mzuri kwa maana wanapomaliza kozi zao wana nafasi kubwa ya...
1 Reactions
70 Replies
22K Views
samahan wanajf hivi course hiyo chuo kipi ni bora kusomea kati ya d.i.t na a.t.c
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu mm ni kijana nliemalimaliza elimu ya sekondari mwaka jana mwaka 2014 na kupata ufaulu wa credit ya 2.4 na masomo yangu yalikuwa kama ifuatavyo... Bios B,chemiaD,physics...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau;sijui ka nipo jukwaa sahihi,lakini naombeni kwa mwenye uelewa wa jinsi ya kujiunga na mafunzo ya upolisi anielekeze.....it's urgent... Shukran kwenu wakuu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mtu anaingiza details zake sahii kabisa tena kafaulu vizuri mwaka 2015 tena ana appy ualimu alafu anajibiwa"Error! Provided Index number and Examination Year not found in our database, check them...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau. Naomba ushauri juu ya hili: Kwa division 4 ya points 28 mtu aliyesoma arts o'level ni course gani anayoweza kusoma kuendana na soko la ajira?
0 Reactions
0 Replies
673 Views
MBONA GUIDE BOOK YA TEACHER HAIDOWNLOADIK JMN
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Naomba mtu mwenye hii guideline anitumie maana kwenye website ya NacTe link yao haifunguki
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa poleni n'a majukumu lengo langu niombe ushauri kwenu kuhusu utaratibu wa uhamisho. Mimi ni mwalimu secondary nilivamiwa n'a kupigwa n'a mtu ambae ninamfahamu nikaumizwa Sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba kwa yeyote alie na taarifa anijushe ni lini wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2013/2014 wataanza kuripoti vyuoni
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Naitwa juma omary nasomea auto electrical ,naombeni msada wenu kujua wapi lipo duka la vitabu >>auto electrical >>enginearing science >>intrepreneur ship >>life skills Naombeni msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Back
Top Bottom