Je, Naweza kwenda degree baada ya kumaliza diploma?

Sep 26, 2015
50
2
habari wadau...nategemea mwaka huu kumaliza diploma ya clinical medicine..!!
je naweza kusomea degree ya medicine baada ya kumaliza?
je nahitaji sifa gani ili kusomea degree?
SHUKRANI
 
Swali lako linahusianaje na MMU? Kajifunze kusoma kwanza kabla ya kuwaza kwenda chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom